Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is how the typical Dar slum estate looks like:
Single storey housing with 1970s architecture, rusty roofs and not a high-rise in sight. They're like unicorns over there.


View: https://www.youtube.com/watch?v=voupU-An0bc
Tandale hio ndio hua munafananisha na kibera 🤣🤣🤣🤣🤣 tandale ina lami kila kona kuliko karen ina lami mpaka za zege na mitaro misafi kuliko karen na ukibisha tu nitag

Kuna nyumba za kifakhari kuliko karen tandale ww bisha tu uone 😅😅😅
 
Kumbuka Kasarani nayo kuna renovation kali. Ujue tena ulipewa KDF. Jamaa waliounda Uhuru Gardens Nairobi. Mtajua hamjui
Renovation gani hua munafanya watu wanakula pesa na stadium iko vile vile miaka yote hata kujitahidi mupate CAF standard approval imewashinda ila kwa midomo mirefu mulijaaliwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Life Expectancy according to WB.

Tanzania 66 years
View attachment 2798025

Kunyaland 61 years
View attachment 2798027

Yanakufa kama sisimizi wamemwagiwa kerosine sababu ya njaa na utapiamlo 😁😁😁😁
Siku zote nchi yenye maisha bora, yani huduma bora za afya, lishe bora, elimu bora lazima iwe na life expectancy kubwa. Unaweza kuona tulivyo mbele ya hawa jamaa, yani tunaishi miaka 5 zaidi yao, hii ni miaka mingi sn ambayo mtoto anakua na anaanza darasa la kwanza bila tatizo, wakenya ni maskini ukilinganisha na watanzania thus y tunaishi maisha marefu kuliko wao.
 
Mapori ni zile bus terminal zenu huko sugunyostan
 

Attachments

  • a226872c1bbb96c4e9c1a3487bad295e.mp4
    1.4 MB
Watakwambia Kilimani kunajengwa magorofa mengi Bill gate atachukua duka 😁😁😁😁😁
 
Ww ndio hua unakaa barabarani kuyahesabu??🤣🤣🤣🤣 hata namanga ushawah kufika wewe kwnye mambo ya magari tuachie sisi tunaoyajua tukwambie, kuna watu tunawajua na yamekaa uwani tu
 
Hii haina come back wa sugunyo 😂
 

Attachments

  • a226872c1bbb96c4e9c1a3487bad295e.mp4
    1.4 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…