Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa kama magorifa za Posta zinaonekana kwenye hiyo picha za Upanga zitakosekosaje kuonekana na tunajua Posta na Upanga zinapakana?

The point is, picha moja umecover kila kitu cha maana Dar. Ile ya South C niliyopost Kilimani haionekani hata kidogo
Zinaonekana hapo ww unaona nn ?? Hebu tueleze hapo ww unaona nn km zaidi ya 25🤣

Dar nikubwa mara tatu ya nairobi yani hili weka akilini ndio maana dar huwez kumaliza kwenye picha moja never

Ww picha moja kila kitu ndani na kinaonekana clear alaf unataka kufananisha dar na nairobi kweli??🤣🤣🤣🤣
 
Sasa kama magorifa za Posta zinaonekana kwenye hiyo picha za Upanga zitakosekosaje kuonekana na tunajua Posta na Upanga zinapakana?

The point is, picha moja umecover kila kitu cha maana Dar. Ile ya South C niliyopost Kilimani haionekani hata kidogo
We Mbwa unayejifanya Mswahili, Magorifa ndo nn?
 
Sasa kama magorifa za Posta zinaonekana kwenye hiyo picha za Upanga zitakosekosaje kuonekana na tunajua Posta na Upanga zinapakana?

The point is, picha moja umecover kila kitu cha maana Dar. Ile ya South C niliyopost Kilimani haionekani hata kidogo
Kama hii sio DAR 👇 then hiyo pichaako nakubali kwamba hiyo picha one cover DAR nzima.. 👇
 
Ukubwa wa Dar tumeimbiwa hapa tangu 2015 na hakuna Cha maana. Huo ukubwa ni uswazi kushoto kulia you can't compare with Nairobi iliyojengeka kila mahali. Ukubwa gani wakati sehemu kubwa pia ni mapori hadi shamba za mihogo za hekari kadhaa zinapatikana.
 
Wewe ndio una shida,nimekupa blocks chache tuu za TBA Wala sijaweka za taasisi zingine au private sector ,sawa wewe pimbi.

Tulia upate dozi upone

View: https://www.instagram.com/reel/Cy2r0v6Ap9-/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Tuliza kende wewe bongolala. Hii battle hutoniweza hata nikupe mwaka moja ya kujipanga.

This is affordable housing project in Ngara alone. Apartment blocks of 17-floors high. Alafu wewe unaniletea nyundo za ghorofa saba na kutupigia nayo kelele hapa.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…