Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilimanjaro residents wanasukuma ndinga kama hizi ambazo ukiondoa Nairobi hakuna kwengine Kunyaland wamezitia machoni

 
Wewe kijana wa Tandale utasumbuka sana. Niambie hii picha Dar ni nini kilichobaki?
Posta, kijitonyama, Kariakoo hadi upanga zote ndaniView attachment 2797807
Hebu nioneshe upanga iko wapi ?? Kwanza angalia tu umbali wa picha over 25km hakuna kitu kinaonekana hahahah

Angalia picha ulizopost ww kila kitu kinaonekana vzr kabisa huna cha kuficha ndio maana mkiambiwa dar nikubwa mara 3 ya nairobi muelewe 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Umeona usaidie mwenzako kwa kuhamisha goli!
Anyway, naona kwenu hali shwari kabisa wala hamna matatizo. But as the saying goes... hizi ni picha za 90sView attachment 2797853View attachment 2797854
Tanzania Hali ni shwari kabisa Kila Kijiji kinafikiwa

View: https://twitter.com/TaruraTz/status/1717131762701078696?t=ijofvA2ffhuoYVdTQo2YHw&s=19
Wakunya: Tuna lami Kila Kijiji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://twitter.com/TheStarKenya/status/1718933201123434898?t=WyzbzQm-WOJxBdeB3_Baaw&s=19
 
Sasa kama magorifa za Posta zinaonekana kwenye hiyo picha za Upanga zitakosekosaje kuonekana na tunajua Posta na Upanga zinapakana?

The point is, picha moja umecover kila kitu cha maana Dar. Ile ya South C niliyopost Kilimani haionekani hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…