Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu leteni yenu moja zaidi ya 20 floors mnayojenga sasa hivi 😆😆😆😆😆
Sisi tunajenga jiji Dodoma's Government city from the scratch! Nyie endeleeni kujenga vijengo uchwara hapo Nairobi wakati siye tunaboresha miundombinu BRT phase IV sasa hapo Dar na JNIA's Terminal II inafanyiwa modernization! isitoshe Kawe project is ongoing!

pita huku !
 
Pa
Pang'a ng'a
 
Majengo yanajegwa mengi sana hata hatujui majina yao. Tafuta footage ya Kilimani, Eastleigh, Westlands, South C, Pangani nk ujionee. Tukianza kuweka every 20+ floor building that is under construction we will clog the servers of this website
Sasa kwaakili yako finyu,kila mtu akisema apost ujenzi unaoendelea kwenye nchi yake ama jiji unadhani kutatosha humu,
Au unahisi mnaojenga ni nyie pekee,wacha kujifurahisha kwa kupoteza mda
 
Unaongelea Nairobi tu, wakati sisi tuna Arusha, Zanzibar, Dodoma na Mwanza as major cities! Nairobi yenyewe haifikii Zanzibar kwa accomodation facilities!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…