Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
The units are already sold out yet construction has just began, despite the tough economic times πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kenyans have plenty of money

View attachment 2782318
Kumbe unajua kwamba mpo kwenye hali mbaya especially nyinyi wakenya weusi ambao 99% ni makajambani, hao wanao rent au kununua hizo units sio wakenya, hao ni foreigners.

Nchi lenu liliharibiwa na ukoo wa Kenyatta kitambo na ndiyo maana unakuta mkenya kama wewe mna hali mbaya sana wakati foreigners na wakenya wenye asili ya Somalia wanajenga tu hayo ma apartments na kuyauza kwa foreigners na wakenya weupe, nyie pangu pakavu tia mchuzi mtaendelea kuishi Kibera, babandogo, Mathare, pipeline etc etc. Gape btn rich and poor is so huge and keeps widening kila uchwao, inshort No future in Kenya.
 
Majengo yanajegwa mengi sana hata hatujui majina yao. Tafuta footage ya Kilimani, Eastleigh, Westlands, South C, Pangani nk ujionee. Tukianza kuweka every 20+ floor building that is under construction we will clog the servers of this website
Sasa ni nchi gani ambapo majengo hayajengwi, yani unakesha kupost ka project ka 100,000$ kweli? Alafu unaweka picha ya kajengo kamoja unahamia kingine, kama ndiyo hivyo basi hata Somalia yuko vizuri mana hata kule vijengo kama hivyo vinajengwa. Sisi tunaweka projects za bil $ nyie mnaweka vijengo kamoja kamoja, tutafika kweli kwa style hiyo?
 
Wewe ni mavi tu. Hayo majengo yanajengwa killa mahali hii Nairobi. Everywhere kuna ujenzi ya highrise apartments, hata huko Pipeline, Kibera, Mukuru, Shauri Moyo. Kuja hapa baada ya miaka miwili halafu uongee hayo mavi unayosema. Ama mnaskia wivu eti foreigners wanajenga huku wala hawataki kuja kujenga huko kwenu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Most of those buildings are owned by Kenyans na hata hao unaita Somali they are Kenyans. Meza wembe ukitaka. The poorest people in Kenya are wealthier than the average middle class in Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…