Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni mshenzi tu. Did you know that Johannesburg alone contributes to nearly half of South Africa's GDP? I think hii ujinga yenu should be declared a national pandemic in your country.
Such income gap ndio sababu mnaongoza Kwa kuwa na slums Dujia nzima na ulivyo kiazi unajisifia 😁😁

Bora Johas Sasa Kwa Kunyaland ni 90% 😂😂
 
Ona hili lodilofa la Shakahola linavyojifariji 😆😆

Kunyaland - Increasing at decreasing rate harafu unajifariji 😂😂😂😂

Ni ndogo on absolute values na sio kwenye growth rates.Tanzania tuko na $85B na twende Kwa Mwendo huu huu harafu tukutane 2028-2030
 
Karaani akisimulia upigaji wa kutisha alipokuwa kwenye utalii huko Zenji. Sio poa, $700 Million kujitangaza CNN🙄


View: https://x.com/JamiiForums/status/1712515353543082213?s=20
Ndio maana anataka kuifumua Waizara ya Mambo ya Nje ambao ndio wamekuwa wakitoa Ushauri wa kindezi Kwa Serikali.

Rais Yuko mkweli na muwazi kabisa akioneaha Hilo ni kosa.

Sasa mwambie yule tapeli wa awamu ya 5 akupe hesabu za pesa walizodai kununuliwa korosho na kutumia jeshi 😂😂😂😂
 
Sasa hili povu lote la nini!
Shida yenu kubwa ni kwamba mnaonaga Tanzania inashindana na nyie kumbe wala hata.
Yaani projections tu zinakutoa povu namna hii!
Nenda kawalilie IMF au Katombwer huko.
 
Tunajenga nchi yetu bila kelele wala majigambo wakija kustuka tumewaacha mbali mno, tunajenga miundombinu bora nchi nzima ikiwemo the best public transport infrastructures like BRT, modern bridges, electrified railway, modern bus terminals, interchanges, flyovers, modern airports, modern stadiums etc etc....

Mm nawaambia hii AFCON ndiyo itaonesha Tanzania ni nani Africa kwa sasa, nyie subirini muone. Kwanza picha litaanzia pale airport, abiria akishuka tu anakutana na miundombinu bora kabisa, dk 0 yupo town, then kama timu yake ya taifa ipo kituo cha Dodoma ataamua apande nyoka wa umeme au apande tena ndege, na akifika Dodoma anakutana na mazingira ambayo huenda kwao hajawahi kuyaona. Au akienda Arusha anakutana na mazingira matamu kabisa ambayo huenda kwao hakuna, so serikali ijipange kweli kweli mana wahamiaji haramu wataongezeka sana nchi hii after AFCON mana watu watagoma kurudi kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…