Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tukubali uongozi wa sasa aidha unaukimbukeni wa kubabaika na vya nje au kuna madili ya kifisadi.
Ukibakiane na nani? Nyie ambao hamkuwa na ulimbikeni kipi Cha maana mlifanya zaidi ya kuharibu mahusiano na kuleta uhasama Kwa Kila jirani?

Si ajabu hakuna mradi hata mmja mliumaliza Kwa kukosa hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…