Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SawaπŸ˜‚
 
Haya ******* ni mababaishaji, hayana lolote, ni uongo uongo tu, yamesahau kwamba dunia ya sasa humuongopei mtu.
 
Nawakumbusha tuu hakuna Rais anasukuma maendelea kama Samia na ni sekta zooote mambo ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

View: https://twitter.com/NuktaTanzania/status/1712038678271341000?t=4gMCUT5cfiJId3VoUl_arw&s=19
Wacha ujinga wewe, hakuna rais mwenye maono na aliyeanzisha Tanzania mpya zaidi ya Magufuli na ndio maana huyo Samia wako anasema kazi iendelee, maana yake anaendeleza aliyoacha mtangulizi wake, hata ukinuna huwezi kubadili nyekundu kuwa njano.
 
Au siyo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…