Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
🤣🤣🤣 Ila Huu ni utahira wa kiwango cha juu kabisa.. sasa mzee unategemea mechi zichezwe kwenye kiwanja chenye hakipo..? U don't have it already.. usifkirie ku host mechi hata moja kwasasa kwasababu hauna uwanja wenye qualifications hata mmoja while Tz tuna viwanja viwili vyenye tayari viko approvedYou expect it to be played at that old monstrosity that is Benjamin Mukapa stadium?
Unahitajika pale mathare mental institute ukamalizie tiba sema umekimbilia america na huko bado hawajagundua km una mental diseaseMsijifananisha na 🇰🇪 since hamuwezi kutishinda in a match and the record shows… and we are the only country in East and central Africa to win an African soccer trophy… hakuna mwingine…so don’t worry about Italy, worry about your Northern neighbors…🤣🤣😄
Russia is still banned from FIFA just like Kunyaland! This will be mazezeta friendly!Harambee Stars training in Turkey ahead of the International friendly with Russia
View attachment 2778341View attachment 2778342
Picha zenu zote za roads zikiwekwa humu ni rahisi kugundua kama ni kutoka Africa. Ni vigumu kuepuka mazingira ya kiafrika Kenya.Ngara west(muranga road) NairobiView attachment 2778409
Umesahau kenya mashabiki wa mpira hakuna mashemeji derby tuù watu hawafiki hata 10kHilo group moja alilowapa kawapendelea sana, inshort ni kwamba hamtoandaa AFCON, this is because you don't have proper infrastructures to support tournament ifanyike kiurahisi, mashabiki wakitaka ku move from one place to another itakuwa ngumu mana usafiri wenu mkuu ni matatu ambao sio rafiki kwa watu civilized, sisi tuna BRT ambapo by 2027 itakuwa phase zote 6 zimekamilika, plus ukarabati wa viwanja vya ndege kila mkoa.
Pili hamna viwanja bora na mpaka sasa serikali yenu haieleweki kama itajenga viwanja ama la, sisi tayari tunafanya marekebisho uwanja wa Mkapa ambao ni approved by CAF lakini tunaukarabati uwe bora zaidi na mnaona nyie wenyewe now tunafunga LED na tayari bajeti ya viwanja viwili vya kisasa ishawekwa plus kiwanja cha Amani Zanzibar tayari kipo kwenye ukarabati mkubwa.
Tatu hali ya usalama huko kwenu iko hovyo sana ukizingatia mtakuwa kwenye uchaguzi ambao asilimia kubwa ya wakenya hawamtaki Ruto including you na Ruto hatotaka kuachia madaraka (he is there to stay), lazima muuwane, so hakuna shabiki atataka kuja huko kwenu akauwawe kizembe.
Vitu kama hivyo ndivyo vinavyonishawishi kuamini kwamba hamtoandaa AFCON hata kwa bahati mbaya, kama unabisha niko nimekaa paleee...
Wako busy na hizi tetenus🤣🤣🤣🤣Wakunya Mpo? Kuna Tajiri huko kwenu wa kufanya kufuru kama hizi?
Abood Bus
View: https://twitter.com/PabloYende/status/1711979128046366830?t=WFWF9CGt1Xv9tBFLWXF3fA&s=19View attachment 2778447
CAF sio wapumbavu waweke finals or opening match in Kenya. CAF wataangalia records za attendances. Wataangalia kiwanja kipi au watu wa nchi gan huwa wanajaza uwanja mara nyingi kuangalia mechi. Kuna factors nyingine nyingi tu wataziconsider kama security, etc..You expect it to be played at that old monstrosity that is Benjamin Mukapa stadium?
Kumbe duluti kuna hadi wanafunzi kutokea egypty na india!
sifa za kubeti sio? kweli akili imehamaI have won before… people win … you can’t win if you don’t play… my cousin won $1 million from a scratch off…hizo ni pesa ngapi za mandafu?..🤣🤣this the United States of America 🇺🇸., sio Bongo…🤣🤣View attachment 2777910