NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,303
- 19,656
I like how you guys are acting like you have stadiums. 😂 😂Kwa hali inavyoendelea hawa majirani si wa kutegemea! CCM Kirumba una nafasi ya kutoa uwanja wa 60,000 capacity! Halafu juzi zimetolewa fedha za jengo jipya la abiria Mwanza airport! Na SGR ya Mchina itakuwa tayari!
Kati ya Uwekezaji nilikuwa nausubiri kwa hamu ni ujenzi wa hotel ya kisasa eneo hilo, lile eneo linaenda kuwa very strategic na hakuna kabisa hotel, TANTRADE walitaka kujenga hotel nzuri pale Sabasaba na kuboresha exhibition grounds ziwe na international standard ili kuvutia international exhibition lakini nilishangaa sana JPM aliwakatalia plan yao na walikuwa wameishapata na funding kabisa.hiyo hotel taget group ni sports persons na traders wanaokuja kwenye sports na exhibition viwanja vya sabasaba (vile viwanja havina maonyesho siku za sabasaba tu) na bandarini! Kule twitter unaandika ujinga sana! Zile hoteli za Magufuli Chato, nani analala sasa?
JPM Disciples hawawezi kukulewa! Jamaa kazuia ujenzi pale halafu akaenda kulazimisha Chato, alikuwa very shallow businesswise na pia controversial!Kati ya Uwekezaji nilikuwa nausubiri kwa hamu ni ujenzi wa hotel ya kisasa eneo hilo, lile eneo linaenda kuwa very strategic na hakuna kabisa hotel, TANTRADE walitaka kujenga hotel nzuri pale Sabasaba na kuboresha exhibition grounds ziwe na international standard ili kuvutia international exhibition lakini nilishangaa sana JPM aliwakatalia plan yao na walikuwa wameishapata na funding kabisa.
Niliwahi kuwa na wateja wamekuja kwenye maonesho walishangaa sana eneo hilo kukosa hotel nzuri ya kulala, walisema Bongo bado hatujui kuexplore the potentials we have, maonesho yetu ni moja ya maonesho makubwa sana Afrika haiwezi kuwa shaghalabaghala namna hiyo, so finally pale tunapata hotel, hope TANTRADE nao watakuja kivingine na exhibition grounds zao, miundombinu ya BRT mizuri kabisa, pale sasa pageuzwe Centre ya maana ya sports and functions.
yes! kwingine mmepiga rangi zege!Hivi hii ni 5% ya Kasarani stadium?
We una macho kweli!?yes! kwingine mmepiga rangi zege!
BTW huu uwanja haufiki 40,000 seats if at all r to be installed!
yes! kwingine mmepiga rangi zege!
BTW huu uwanja haufiki 40,000 seats if at all r to be installed!
Ebu onyesha kwa highlight penye kumepigwa rangi.yes! kwingine mmepiga rangi zege!
BTW huu uwanja haufiki 40,000 seats if at all r to be installed!
BTW there is a difference btn a seat and a stool!We una macho kweli!?
Kasarani is all seater since 2022
Why don't you zoom in your on pic you posted!?
View attachment 2775262
Mh mimi msadukayo napita tuu jamaniJPM Disciples hawawezi kukulewa! Jamaa kazuia ujenzi pale halafu akaenda kulazimisha Chato, alikuwa very shallow businesswise na pia controversial!
The stools at the lower stands will be replaced with seats and the canopy will extend across the stadium.BTW there is a difference btn a seat and a stool!
Kwa hivo umekubali uwanja ni 60k seater?BTW there is a difference btn a seat and a stool!
Kunyaland haina na haitakaa iwe na uwanja wa 60,000 seats!Kwa hivo umekubali uwanja ni 60k seater?
Slum unaijua ww??🤣🤣🤣 au munafkiri dunia nzima inafanana na kiberaKwani Iko ndani ya slum!!!
Hiii ni aibu kwa nchi ikichezewa afcon,
Foreigners wanapita kwa madreamhouses ndio wafike stadium!!