The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Yanga Anzeni kufungasha ,Kwa Kundi hili mumeumaliza Mwendo tayari 😂🤪
View: https://www.instagram.com/p/CyDx3qVKzGU/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Harafu ukiangalia jinsi timu zimepangwa ndivyo zitavuka na kuingia robo fainali 😁😁
Peleka usenge wako mbali, hivi unaichukuliaje Yanga wewe kwa mfano, au kwasabu imefungwa kimchongo juzi, mm nikwambie tu kama kitu nlikuwa natamani ni Yanga ikutane na Al ahly.