Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,191
- 107,783
homa Bay imekuwa village? the whole town imekuwa village? Nini Unaficha aibu?Village Stadium in HomaBay, hebu rudisha hizo za CCM tuione!?
View attachment 2768987View attachment 2768988View attachment 2768989
We know you are trying hard to impress your CCM masters…..btw..unatumia stima saa hii au generator?…. We know it’s not CCM fault, CCM juu milele ( am just protecting you)….🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umemaliza kuosha vyombo?
Btw i use a dish washer kwangu… unataka Kuiona live?…i will even write CCM on it with an erasable ink just to make you feel patriotic…🤣🤣🤣🤣Umemaliza kuosha vyombo?
Umemaliza kuosha vyombo?Btw i use a dish washer kwangu… unataka Kuiona live?…i will even write CCM on it with an erasable ink just to make you feel patriotic…🤣🤣🤣🤣
Wacha niulize bibi……. ……. aah !… bado hajamaliza kuziweka ndani ya washer …. We just finished dinner….. any further questions I may help you with?… unataka kujua naenda Kulala lini?…..😄😄…… btw tuko na stima hapa… i thought you might wanna know…..🤣🤣🤣Umemaliza kuosha vyombo?
Anaapishwa Ruto au madaraka day? 🤣🤣🤣🤣Ukitoa mechi ya yanga na simba, hakuna attendance Kama hizi danganyika
View: https://twitter.com/ItisWinston/status/1708461405152653484?s=19
Punga wewe, eti an act of nature, hamkuona sehemu nyingine mpk mkaenda kujenga kwenye mto, wakenya hamna akili.So umeona ujiliwaze na flooding, an act of nature ndio vilaza wenzako wakupigie makofi?
Bongolala, I can bring you thousands of photos of flooded residential areas in Dar but haina haja
Watz tuna guts za kudis viwanja vyote ukanda huu mana ni pekeetu wenye CAF approved facilities, sio facility ni facilities, nyie na mavumbi wenzenu wote EA hamna hata kimoja ambacho ni approved, that is why we Tanzanians don't like to be called people from EA bcz it has been surrounded by very lazy and poor people.Btw I didn't even notice that 🤣🤣🤣🤣
This is pure comedy. Alafu mtu baso anabakisha nguvu ya kudis Nyayo Stadium
Hujui kusoma?Anaapishwa Ruto au madaraka day? 🤣🤣🤣🤣
Shida iko wapi, nyie mnajengewa sisi tunajenga wenyewe, shida iko wapi? No wonder barabara kibao ni za vumbi kwasababu ya kusubiri kujengewa kila kitu, mwishowe mnakuwa na uchumi tegemezi usioweza kujenga hata km 2 za lami. Barabara ya expressway mmejengewa lkn kumalizia lami ya chini mnasubiri investor awajengee.How do you expect them not to accept when they lazy around doing nothing? Kwani umesahau hata pale CBD yao majumba yote marefu/muhimu yanamilikiwa na serikali? I wonder what the private sector in Tanzania does. I have never seen any tangible project done by the private sector in Dar
Utakua unaota,angalia hii clip uone kunyata wenye akili zao wakilia gape tulilowapiga kwenye biashara,huko labda mtafanikiwa biashara ya kuuza nyuchi kipindi cha afconBora ichezwe East Africa. Maana hata ikichezwa Tz biashara zote zitapigwa Kenya, tulia dogo. Unajua kulienda aje na East Africa Airline!? Tutajifunza akili za mkenya miaka 3 ijayo.
Huu Ni uwanja wa club ya Ulinzi FC. Nionyeshe uwanja wa club hapo Tz wenye unaweza fikia Huu.Huu nao ni uwanja wa AFCON??
Hizi ghorofa pia mnatumia ndarugo kujengea?
Azam is a very basic playground buanaa. Hii hata haifikii Dandora stadium.😂😂Hakuna stadium yoyote hapa EA yenye ni competitive to AZAM complex as far as latest technologies is concerned.. kaa kwa kutlia hata hapa bongo zipo football pitches kibao zenye ziliwekwa nyasi bandia kitambo tu. 🤣🤣🤣
It's clear you lack engineering knowledge. The wallings of an RC structure do not constitute it's structural soundness. They're only a skirt. That's why some modern RC buildings have glass walls. Structural Engineering 101.Hizi ghorofa pia mnatumia ndarugo kujengea?
Ndio maana yana anguka hovyo.
Nyinyi akili zenu huwa ni mbovu, sijui ni pombe za kienyeji mnazokunywa au ni nini, kila siku humu unawekewa matangazo ya CAF kwamba hapa EA ni viwanja viwili tu vipo approved ambavyo ni Mkapa stadium na Azam complex ambao ni uwanja wa klabu ya mtu binafsi, now unajitoa ufahamu unauliza tena swali ambalo CAF washalijibu kitambo. Wakenya hamna akili.Huu Ni uwanja wa club ya Ulinzi FC. Nionyeshe uwanja wa club hapo Tz wenye unaweza fikia Huu.
Picha ya zamani hii.Azam is a very basic playground buanaa. Hii hata haifikii Dandora stadium.😂😂
View attachment 2769125