Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haki ya Mungu!!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe ni bodaboda? Hii pikipiki yako ni design ya bodaboda na usiseme umekodi, ni wewe mwenyewe unaendesha. Wakenya wa humu wengi ni pangu pakavu tia mchuzi, angalia anashindwa hata kununua side mirror.
Akili za kila CCM sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Da f**k is this?…. Hizo ni nyumba kweli? …. What did CCM do to these poor souls to make them accept any bullshit fed to them….. now i feel sorry….. maybe not…🤣🤣🥲
Yaani CCM ndo party, ndo government, ndo constitution. Viwanja inajenga kwa pesa za serikali lakini vinatajwa mali ya CCM. Hata hii reli ikiisha, itapakwa rangi za CCM. 2060 hii mijamaa itakuwa bado inaimba CCM. Kuna uchawi Tanganyika!?
 
🤣🤣🤣 Muonee huruma. Juzi kati walikua wanampa kichwa sasa wewe utamkimbiza.. ila nakumbuka ulisema huyo the other delo ataufyata mkia wake soon. 🤣🤣🤣
Huwa wanakuja kwa speed hivi hivi baadae wanagundua huu moto wa tipa, kuna mmoja alianza hvyo hvyo akawa anatamba humu kwamba atatuma mtu aje Dar now kawa mpole kama maji ya mtungi baada ya kuujua ukweli.

So, huyo naye muache atakuja kugundua Tz hii sio ile aliyokuwa anahadithiwa na atatulia kama mwenzake aliyebaki na blind patriotism.
 
As usual mnaleta old news… this flooding issue got resolved kitambo…. Next…. Soon our slums will also be old news…. But but but we know there are no slums in Bongo…😄😄😄I feel sorry for you….
Mbn wewe umeleta picha after construction, kwnn usilete picha za sasa baada ya floods, huo uchafu kila mwaka unakumbwa na floods na walishatoa ya kuubomoa huo uchafu wote, wakenya hamna akili mlijenga nyumba kwenye river 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…