Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wala hata wasikuchoshe wao ambao wana deni kubwa mpaka juu ya paa hawana SGR kwa standard wala urefu tulionao sisi, hata tungekopa SGR yote bado deni letu ni dogo sana ukilinganisha na ukubwa na ubora wa miundombinu tulionayo, waendelee kulia tu.
 
Kuelekea maandalizi ya Afcon Tanzania tayari tumejipanga kwa viwanja vya ndege vya kimataifa katika maeneo yote ambayo michuano hiyo itafanyika.. here are the four international airports in Tz for Afcon 1.JNIA 👇. AIA terminal 3 👇 3.kilimanjaro international airport 👇. 4 U/C Msalato international airport 👇..
View: https://youtu.be/6OAm6G9gRhU?si=CWc8mYDRNO_k0IaF. Coco reborn. Tuonyeshe at least 2 international airports kwenye maeneo yenye mta host AFCON. 🤣🤣🤣
 
Kufuatia maandalizi ya Afcon Tz imehakikisha at least katika kila destination kuna five star hotels Tano hii except DOM ambayo bado ipo under construction. Maenae matatu ambayo kila moja kuna five star hotels mingi at least 5 or above ni
1. Dar es salaam
2. Zanzibar
3. Arusha.

Hao jirani zetu wa north sehemu utakutana na five star hotels zaidi ya moja ni NAIROBI tu 🤣🤣🤣 Coco reborn prove me wrong.. Nicxie The Other Delo
 
Unitag akikujibu nije nikuoneshe sehem gani kuna alama kwenye kishundu chake 😁😁😁
 
You've seen nothing in Kenya when it comes to hotels.
 
None of the Afcon events has so far returned a profit so it made sense tof spread out the expected loss though we can foresee u will not ready to host the pamoja Afcon 2027!
In which case, you also sailed on Kenya and Uganda's bid. So what's the whole hullabaloo about?
 
Wameanza unafiki huko CAF wao ndio wawe main host wa afcon ikiwa hata uwanja uliokua proved na CAF hawana,hii michuano tulikua na uwezo wa kuandaa pekee basi tu atukuangalia mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…