Huu wimbo hata mwaka uliopita mliuimbaKenya ninayoijua ni kwamba kampeni za uchaguz za 2027 zitaanza rasmi 2025 mwishoni na kuchochea moto 2026 yote.
2027 mwanzon itakuwa hatar zaidi yaan kifup hakuna mtu atakanyaga hapo kunye kuangalia mpira.
Hiii.!! 🙄🙄 data tena..?. Bro me naijua Zanzibar kwa kuiona sio story za sijui nini, NO.. kama unajiamini unashindwa nini kwenda ground.? in Africa seeing is believing..Kitu kimoja na wewe nikwamba unajua kuropokwa lakini ukiambiwa ulete data unapotea, mpaka sasa hujanipa units za magari mlizoshusha mwezi Jana. JKIA ndio aviation hub ya east afrika
Kambarage Nyerere alikuwa na akili nyingi zaidi ya Jomo Kenyatta. Ndio maana mpaka leo hilo linchi lenu limejaa ukabila na chuki za kupindukia.🤣🤣It's good that you are talking in future tense, like you've always done since Kambarage Nyerere's time
Angekuwa na akili zaidi ya Kenyatta hamngekuwa mnongaza kwa umasikini ukanda huuKambarage Nyerere alikuwa na akili nyingi zaidi ya Jomo Kenyatta. Ndio maana mpaka leo hilo linchi lenu limejaa ukabila na chuki za kupindukia.🤣🤣
Hata usemeje ukweli utabaki kuwa ukweli tu🤣 Yaani toka uhuru mnaongozwa na kabila mbili tu? Ha ha ha.Angekuwa na akili zaidi ya Kenyatta hamngekuwa mnongaza kwa umasikini ukanda huu
This is what you said in your post: "we are going to beat you."Mzee inawezekana hujaelewa nilichoandika.. soma tena mwana.. au nitumie kiingereza.?
Asante kwa kuendelea kuwa shabiki mkubwa wa kenya media
That's not comparable to leading the region in poverty indexHata usemeje ukweli utabaki kuwa ukweli tu🤣 Yaani toka uhuru mnaongozwa na kabila mbili tu? Ha ha ha.
Wanafaa wajiuluze sana ni kwa nini these organizations are choosing Nairobi over their glorified fishing Village
🤣🤣🤣🤣. Nimesoma huu Uzi nikagundua muanzisha Uzi na wewe nyote ni vichaa 🤣🤣🤣. Sasa kweli sisi tujenge zile takataka kama zenu.? Zenye hazina hata CAF approved standards .? 🤣🤣🤣🤣 Aah mammaae .. tuliza kalio uone tutakachofanya. Viwanja vinne tutakavyokuwanavyo kwaajili ya Afcon, vitatu ndio vitakua viwanja vizur zaidi na bora top 3 in East and Central Africa. Kwanza vinajengwa maeneo ambayo ni very strategic. Imagine Zanzibar east Africa's paradise. Arusha Tz's tourism hub. DODOMA Tz's capital and by the time DOM itakua yamoto mnoo considering the fact that there are so many bigger projects going on there. DAR es salaam Lupaso stadium, muda huo Dar itakua covered na BRT in each and every single big road (barabara tatu kubwa Dar es salaam kwasasa tayari zipo covered na BRT, yaani 3 phases)+SGR 🚆 a.k.a joka. Yani kiufupi huo ni wakati ambao dunia itajua nani ni nani in East Africa..
Isitoshe viwanja vya aina ya Ukunyani vilijengwa miaka ya 70!
Siku jaluo akiwa rais nishtue🙂That's not comparable to leading the region in poverty index
😂😂😆😆 Sasi ndio kina Ruto wanaodai eti watajenga stadia Kila place ya Kunyaland 🤣🤣Isitoshe viwanja vya aina ya Ukunyani vilijengwa miaka ya 70!
🗑️🗑️🗑️Kilifi county vs zanzibar. Battle for tourism and hospitality