Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watz hamna akili nyie. Vilaza tu
 
Mwanzo mzuri, render inawakilisha 😁😁😁
 
Huna akili, tunaongelea AFCON ya 2027 itakuwa mwaka wenu wa uchaguzi, je kwa uchumi huo wa hovyo mtakuwa na uwezo wa ku fund uchaguzi na huku mkijenga viwanja? Ikiwa hiki kilichopo cha tangu uhuru wa nchi hata kukikarabati mmeshindwa .

Pia, msisahau kwamba uchaguzi ujao Ruto atatakiwa kutumia pesa nyingi sana ili kuwalaghai nyie vichwa panzi mumchague tena.

Kiukweli kabisa sioni nafasi ya nyie ku host hata mechi moja ya CAF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…