Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,709
Sisi tuwaogope nyinyi ambao hamna uwanja hata mmoja unao qualify CAF standards. 🤣🤣🤣hiv si vichekesho.Kenya, giant of East Africa 💪💪💪💪. Hata AFCON wanajua bila Kenya East Africa ni kijiji tu 😂😂😂
Hahaha….. wakati sisi tunaingia huko visa free…. Poor Uswazistanis ….🤣🤣"Sisi ni wa South Africans"
Kumbe huko wanafukuzwa 🤣🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/MYRSCSA/status/1706253301002485847?t=L2Y1cRtg9gcfmEioMWipXA&s=19
Sasa unerundi kwa Mzungu….🤣🤣🤣🤣🤣….. kuwa na msimamo……zoom ww uone kati ya mzungu na ww nani mwenye akili zaidi 😅😅😅😅😅
View attachment 2763720View attachment 2763721
FInals zitafanyika Talanta Stadium. Watch this space closely.Hawa tumbili wa Kibera wametembelea Nyota yetu,Tanzania ndio heavy weights na hata fainali itafanyika Tanzania
View: https://twitter.com/AfricaViewFacts/status/1707004974360596962?t=KqL6PdxUbiN2YOi5rvTGAA&s=19
Marsabit ni town ndogo sana. Not even 50, 000 people. Those are the only people who don't have electricity 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hii issue tulikua tunabishana muda sio mrefu, kumbe huko kwao kina happen The Other Delo njoo ujitetee mpuuzi wewe 👇
View: https://www.instagram.com/p/CxsdN71NYSM/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==.
Wewe lia tu ukitaka kulia 😆😆😆😆. Finals za AFCON ni Talanta Stadium.Sisi tuwaogope nyinyi ambao hamna uwanja hata mmoja unao qualify CAF standards. 🤣🤣🤣hiv si vichekesho.
Walipoona zile renders za stadium wakatii👍🏽Kenya, giant of East Africa 💪💪💪💪. Hata AFCON wanajua bila Kenya East Africa ni kijiji tu 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 We jamaa ni zezeta haswaa kwahyo hiyo ndio sehemu pekee ambayo hakuna umeme.? Eneo ambalo ndio home of the largest wind farm in Africa? 🤣🤣Marsabit ni town ndogo sana. Not even 50, 000 people. Those are the only people who don't have electricity 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2764062
Mbona hizo stadia zenyewe mmeshazipost zote humu.? Au kuna stadia zingine mnajenga.? 🤣🤣Walipoona zile renders za stadium wakatii👍🏽
Tupe details za upanuzi, kwakua nataka kuona liuwanja la kwenda hapo.
Waliona hizo za Bongolala ni mchezo tu 🤣🤣🤣. Kwanza waliskia zinajengwa na jeshi baaasWalipoona zile renders za stadium wakatii👍🏽
Unakuwanga roho chafu sana.Mtihani Mkubwa sana kwa Wakunya nawaombea kundi la nzige lifurike 2024, 2025 na 2026 Kunyaland yote wajihangaishe na njaa tuuuu. Na sisi tu-host hii maneno wenyeeewe!
Hold on, kwahyo una uhakika hao watu 50k ndio watu wanaokosa umeme tu hapo Kenya.? 🤣🤣🤣🤣🤣Kwetu nchi haipo kwenye giza kama Tangagiza. Watch and see hao watu 50, 000 watapata stima immediately. That's what serious countries do.
Talanta stadium, finals hapa ndani.Mbona hizo stadia zenyewe mmeshazipost zote humu.? Au kuna stadia zingine mnajenga.? 🤣🤣