Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeona sasa kwann mzungu sio mjinga kuliko wewe 🀣🀣🀣🀣 hii ndio tofaut ya slum na unplanned settlement

Yani slum maana yake hata vyoo hakuna maji hakuna barabara hakuna na umeme hakuna dirisha la mwenzio ww ndio unakunya hapo ndio maana slums

Ndio maana hua munakunya mwenye paperbag alaf munatupa ovyo punda nyinyi

Hzi ni picha mbili na zote nime zoom kukuonesha kua ww huwez kua ana akili zakdi ya alieweka sattelite juu πŸ‘‡πŸ‘‡

Dar




Nairobi
 
 
Port ni store ya Magari!? Yakishushwa yaende panapo hitajika. That shows how inefficient your port is.
Clearance ya gari Dar Port haichukui zaidi ya siku moja if you got all the papers right. Sababu unaziona zinajaa kila siku ni kwamba we can’t help the vessels to dock, everyone wants to dock at heaven of peace, meli za magari mara tatu kwa wiki si mchezo. So Vipi hapo Mombasa is largest? πŸ˜…
 
Lete statistics za vehicle importation between Dar and Mombasa tuone. Hizo zingine ni story za jaba.πŸ˜‚
 
Nchi nzima ni Uswaziland…. Name any place in Bongo and I will show you Uswazi hovels …. Now don’t forget to charge your phone … stima imezimwa bado?β€¦πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
FYI, uswazi bongo ni culture sio symbol ya umaskini, ndio maana pale kkoo au Ilala uswazini 600sqm land is worth billions of shillings lakini anaishi bibi mmoja na wajukuu zake na wapangaji kadhaa na hataki kuuza, they are contented. Sasa turudi Kibera, Korokocho, mathale au na wapi huko (ziko nyingi sana hadi zinachosha kukariri…..πŸ˜…πŸ˜…) hali ikoje? Nipe land value ya maeneo hayo.
 
Lete statistics za vehicle importation between Dar and Mombasa tuone. Hizo zingine ni story za jaba.πŸ˜‚
Lete wewe, sisi tushachoka hadi kuhesabu, after RoRo launching karibu kila meli ilileta over 5,000units of vehicles na zilikuwa zinapishana tu, sasa to cut a long story short wakati tunasubiri official statistics za TPA mwaka huu, naomba unipe tu evidence ya meli moja imeshusha gari 5,000 hapo Mombasani.
 

Lol. Is there no internet in Bongolala? Ama nikutumia mpesa ununua 'bando'.

"Used again to destabilize Haiti"

Haiti is already destabilized. There is no government, gangs have split up the capital into their own territories.
Haiti today is Somalia in 1994.

The black people in Haiti are crying for help, only Kenya and Dominican Republic have stepped up.
They can't even go to markets without paying gang 'taxes' and risking their lives. People who have never recovered from the earthquake.

And yet another bongolala thinks that you're "sticking it to the west" by not helping fellow black people.

No wonder many white people consider us bonobos.
 
Sikiliza pang'ang'a toka kwa hawa vichaa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…