Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo nyumba ziko empty 60% of those apartments are unoccupied. They are too expensive for Angola citizens to afford, wanaishi vijijini. Nyayo Estate is 100% occupied
🤣🤣🤣🤣 We fala nini .. umefungua hiyo link.? 100% occupied with 30k people vs empty city with more than 129k estimated population by 2019. Soma hii ni report ya 2019 . 👇 "Quilamba - Wikipedia" Quilamba - Wikipedia. Halafu mpumbavu mwenzako si alidai nyayo ni estate kubwa Africa.? 🤣🤣🤣..mnajua Africa ni Tz vs Ke au.?
 
Ilijengwa na loan kutoka China na iko empty. Pumbavu

 
Wewe unaongelea magofu na mahame wakati mimi naongelea mtaa ambayo watu wanaishi and house occupancy is 100%!

Quilamba is a ghost town as we speak now. Built in 2012, the buildings are largely unoccupied todate. Yani only 220 houses have been sold out of 2,800 that were initially released. That is less than 10%. Going by these figures, we can comfortably say than it has less than 20,000 residents, a far cry from 200k it was meant to house. Compare that with Nyayo estate that has 30,000 residents as we speak. So kwa akili yako ni gani kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…