The Other Delo
JF-Expert Member
- Sep 12, 2023
- 1,072
- 1,189
Cabanas, Museum Hill, Pangani na hizo za Southern Bypass are just world class. Meanwhile, ile Ubungo interchange ndio apparently the best in their country 😆One time I posted that cabanas interchange on a WhatsApp group page and 10 people all said must be a great day somewhere in Texas with such little traffic. After I responded that was Kenya… they were all shocked… and Nairobi joined their bucket list of places a must visit…hiyo cabanas haikai Africa….
Sasa mjomba tofauti ya hizi nyumba mbili ni ipi ukiachana na kwamba nyumba moja ni gorofa na nyingine ni nyumba ya kawaida.? We jamaa ni mzima wewe..?Kwamba nyumba kama hii ni quality? 😂😂😂View attachment 2760772
Now if that house above ni quality, what will we call this one ya Fourways Junction?
View attachment 2760793
Kuna vitu zingine hazifai mabishano
Now i know why US Embassy staff in Dar prefer Nairobi…imagine working next to that dump while your colleagues in the neighboring country work and live in first world Runda , go shopping at the village market and can stroll around the neighborhood without fear….seriously it’s like day and night… a US marine friend attached to US embassy in Kenya once told me there’s no difference of his lifestyle in Kenya and America and infact Nairobi is better since it has more nature and better weather to offer… I thought it was a joke but if you analyze the situation you realize it’s true…. These guys live in Runda, shop at top notch malls and travel to Maasai Mara for getaways…that’s better quality life than most of America…no wonder Nairobi was voted the best city in the world by expatriates ….Yes we have our problems like several poor suburbia, we don’t deny it like some people but by far we are the most advanced nation in our realm ….
Instead of yapping here , why don’t you post your evidence… your response is weak… you posted your two houses and after being confronted unalia na ni wewe tu ulipost . Then why didn’t you post more in the first place.. now you know why we call you Bongolalas…🤣🤣🤣Sasa mjomba tofauti ya hizi nyumba mbili ni ipi ukiachana na kwamba nyumba moja ni gorofa na nyingine ni nyumba ya kawaida.? We jamaa ni mzima wewe..?
Unaumwa mavi wewe! Most advanced yet mnapewa food stamps na Ukraine!Kenya is the most advanced and developed country in sub Saharan Africa, only behind South Africa
Picha gani zinarudiwa bongolala? Those are different places. Najua unaumia lakini polePicha tatu unazirudia rudia hizo hizo, unajaza server mzee.
Those r affoldable family houses! I will prefer that to a house in a high rise!Bongolalas please kueni serious na maisha… no Kenyan in their right mind would show off such houses to the world. It’s a shame!….ati the most well planned city 🤣🤣🤣… maybe a well planned modern Uswaziland…. You are moving up slowly… congratulations!…🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2760817
Ni kama mbingu na ardhiUbungolala Interchange (Best in Bongolala)
View attachment 2760464
Cabanas Interchange
View attachment 2760465
HahahahaNorthern Kenya yote hawana umeme hata national grid haijafika huko na ndio largest part of Kenya, utashangaa stats zao zinavyowapumbaza kwa uongo
Toka huyu jamaa aingie Moyale ni giza la kuzimu pote
Decoders zenyewe mpaka mchina aone huruma 😢
View attachment 2760653View attachment 2760654
Wala hiyo ni shida yako, sisi hatujali. In cities like New York, Singapore, Kuala Lumpur, Shanghai, Hong Kong, Jakarta, Taipei etc, affordable houses are apartmentsThose r affoldable family houses! I will prefer that to a house in a high rise!
Please prove that the value of Dar estate imeshinda Nairobi na nitafunga account, you will never hear from me ever again …. I promise….Pole kwa maumivu, najua estate ndiyo sehemu pekee mliyokuwa mmebaki nayo ambapo nako huko tumo na tunaenda kuwachakaza vby. Tofauti ya vi estate vyenu na zetu ni kubwa sana, nyie kama kawaida yenu mnagusa gusa sehemu alafu mnaacha, hamuingii in deep, yani ubabaishaji tu kama kawaida yenu, sisi tukifanya tunafanya kweli.
Vi estate vyenu ni cheap, no wonder Dar imeiacha mbali Nairobi kwa thamani ya estate, wakati bado mnazubaa zubaa na Dar, sisi tushaanza kujenga estate mpya za kisasa Dodoma, nyie mmebaki na vi estate ushuzi Nairobi pekee. Watanzania tuna akili kuliko nyinyi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nchi gani nyingine imefikia Kenya in sub Saharan Africa? Hakuna. We are giving South Africa a run for their moneyUnaumwa mavi wewe! Most advanced yet mnapewa food stamps na Ukraine!
Where is that value?… if you mean Uswaziland, yes I agree … yours is more valuable 🤣🤣🤣🥲Did you take into account that Dar real estate is ahead of Nairobi by 3bn USD or you just sputtered egotistical rubbish here.
How much should a bottle of wine cost to you?.. jibu kwanza Bongolala…Yaani cheap wine hivyo ndo unaagiza toka US? Wine ya $35 si ya kupigia mswaki tu……🤪