Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Either you are blind by choice ama wewe ni mwenda wazimu …😂🤣🤣….. if you zoom that Ugly looking Iyumbu development, this how those houses look like … even servant quarters za Kenya are way better…🤣🤣🤣
 
Ujenzi wa mkoloni huo, siku hizi estate zinajengwa hivi 👇👇View attachment 2759943
The first ever well planned estate in whole of Tanganyika… after defending your Uswaziland this whole time, now you got the balls to talk about a planned housing development… Nigga Please!…. 🤣🤣…. Na bado they look like Kenya’s servant quarter houses…you really have a long way to go….😄😄…. Mtafika siku moja…
 
Great weekend…. My wine package just arrived today…. The wine that’s becoming America’s favorite…
 
Sisi hatuna masihara, tuko serious sana, tulianza taratibu, baada ya Magufuli kuingia na ndiyo maana hamumpendi, bila yeye mngeendelea kututukana na ilikuwa haki yenu kututukana, haiwezekani nchi kama Tanzania izidiwe na kenya, hiyo ilikuwa aibu kubwa. So tangu Magufuli atustue mpaka leo tumefanya mamia ya miradi ambayo kwenu ni ndoto na hamtakuja kufanya mpaka dunia inasimama.

Hiyo Dodoma upon completion hakutakuwa na mji wowote East and central Africa utakao match na huo mji, sio Dar wala mji wowote ule EA na ukweli huo mnaujua, ndiyo maana mnakuwa wanyonge tukiweka picha za Dodoma humu, poleni sana, ila nyie endeleeni kuuwana sisi tunajenga nchi yetu tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Siwezi ishi kwenye mtaa yenye barabara za vumbi kama hiyo yenu when I have an option to choose Fourways Junction below with cabro roads with even speed bumps installedView attachment 2759963
Sisi tunaakili kuliko nyinyi, najua dawa ishakuingia sasa tulia hivyo hvyo tuwaelekeza estate za kisasa zinajengwaje 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Asante kwa kuweka picha za nyumba nyingine tofauti na nilicho post mm, pia asante kwa kuweka picha ya wakati wa ujenzi. Kumbe unajua Iyumbu ni lidude fulani likuuubwaa, hizi nyumba ulizoweka sio hizo nilizoweka mm, pia ukitaka picha mpya za nyumba hizo utawekewa humu. Sisi tunaakili kuliko nyinyi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hizi nyumba kila siku wanazipost. Yani ukiziangalia unacheka tu. Hawajaona Estates Hawa.😂
 
Tulikuwa tunawapostia gated communities hunu wanasema eti tunaishi kwa mabweni while wao wanaishi kwa dreamhouses walizojenga wenyewe. Sahii wamejenga kamoja kila siku wanakapost humu.😂
 
Naomba Mabongolala wote kwenye hii forum watuonyeshe estates kama hizi in Dar.

Langata











Southern Bypass Interchange









South C








Evolve Estate



Madaraka Estate



Uhuru Gardens



South B



Makkah Estate



Nairobi South



Runda (Kiambu County)









Two Rivers - Gigiri (Kiambu County)


Tatu City SEZ (Kiambu County)



Tatu City Residential


Kenyatta University

 

Attachments

  • 1695527513772.png
    592.8 KB · Views: 22
Mnisaidie kutafuta gated estates in Dar maana mimi natafuta naona tu haya 😆😆😆😆😆. Hii ndio real estate mnajigamba mmeshinda nayo Nairobi? 😂😂😂😂. Nairobi tunawapea miaka kumi ili muweze kuifikia. Na hiyo ni kama Nairobi itakuwa imelala hiyo miaka yote









 
Ajaribu kutishia CCM ataokotwa kwa bahari akiwa ndani ya gunia 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…