Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndioo nlishangaa mkenya mgani anajengaa Ivo kwa plot ya 40 by 80!!!
YΓ ani nyumba imekula plot mzima Hadi hakuna breather!!!
Typical Tanganyika style na mnajiita mko na enough land,
Mbona msiuziwe bigger plots za 200 by 100 especially the rich elite's!
Kazi ni kujisqueeze kwa kaplot na uko na pesa!!!
 
Umekuja kuingiza gear angani au??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Eti ooh we have the best medical services in the region and the best hospitals as well wakati serikali yenu inahimiza wananchi wenu waje wapate matibabu ya saratani Kenya

Kwa kelele na majigambo hamjambo!
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Yani huyo mwarabu anataka kuona picha ya a sitting President akiwa kwenye kitanda cha wodi probably breathing his last! And remember this is a President who was secretly flown into a neighbouring country akiwa hali mahututi!

Does he know there exists something called intelligence service?

He should be reminded that Magufuli's entry into and exit from Kenya was a secretly guarded affair that even most government officials from both countries were kept in the dark.

Mbona asijiulize ni kwa nini walidanganywa na waziri wao mkuu kwamba Magufuli yupo na anafanya kazi while in real sense he had died. Atangoja sana kuona picha za Magufuli akiwa hospitalini anatibiwa iwe ni Kenya ama huko kwao Tanzania
 
Mimi naweza kuthibitisha ubovu wa miundo msingi kwenye airports zenu ila wewe huwezi thibitisha ulichoandika hapo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bongolala, you can fly to 56 direct (non-stop) destinations from JKIA. How about mabati rolling mills?

 
Umeshindwa ku-feed your fellow kunyans wanaokula one meal kwa siku ndo utawezana na relatives wangu!
We feed thousands of your beggars each day who have invaded our streets like the Biblical plagues and we don't yell about it
 
Mimi pia nilikua naishuku hio picha manake hapo nyuma kuna kijiji cha ujamaa, asante sana🀣🀣🀣
 
I have lived in Oloitoktok and I know what I am saying. Trucks carrying food daily are brought at a very cheaper price since your farmers have nowhere else to sell to. Ikishaingia Kenya inauzwa at even more than tripple the prize they bought
Kwa perspective yenu ni cheap ila kwetu ni fair price cause our purchasing power iko very strong. I get more stuffs kwa dola moja than what you get in Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…