mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,514
- 6,922
Donβt you love the freedom of media and speech in Kenya?β¦β¦ we all know nobody would dare challenge CCM lies in public without repercussion π€£π€£π€£π€£π π π π π waziri anaomgea uongoa kaah kabanwa mpaka kahara
View: https://twitter.com/citizentvkenya/status/1702022843968479442?t=GeTSP22BCZYcUPsXFVsBVg&s=19
View: https://twitter.com/254_insights/status/1702023182092263652?t=2Ee0FtYh9SlDOKKBpHrhnw&s=19
View: https://twitter.com/DKithandi/status/1702028134030217299?t=Y5iF6Ag0EmCYR38vaHhSLQ&s=19
View: https://twitter.com/SitatiWasilwa/status/1702028170990375380?t=QTtgoBUCZkm52hKRZ5s5CA&s=19
View: https://twitter.com/MfalmeUkweli/status/1702028044439793963?t=oYMBlfO8OVGgxilGzdCUog&s=19
Lini mtaanza tena kuvaa sufuria kichwani, au mmeshachoka?Donβt you love the freedom of media and speech in Kenya?β¦β¦ we all know nobody would dare challenge CCM lies in public without repercussion π€£π€£π€£π€£
Tofauti ni kwamba reli yetu ni electrified ila yenu ni ya diesel, reli yenu haikuwa na ugumu wowote kuijenga, hata hiyo miaka miwili bado ni mingi, hiyo reli yenu haina chochote cha ziada zaidi ya kuweka machuma tu chini. Kwakifupi ni kwamba reli yenu hata sisi mngetupa tenda tungewajengea, tuna vijana wa suma jkt wangeijenga kwa miezi 6 mana sio ndefu na haihitaji utaalamu mkubwa.Reli tulijenga na miaka mbili mnajenga na miaka kumi π
ask tundu lissuDonβt you love the freedom of media and speech in Kenya?β¦β¦ we all know nobody would dare challenge CCM lies in public without repercussion π€£π€£π€£π€£
The highlighted part had me laughing in the aisles! π πTofauti ni kwamba reli yetu ni electrified ila yenu ni ya diesel, reli yenu haikuwa na ugumu wowote kuijenga, hata hiyo miaka miwili bado ni mingi, hiyo reli yenu haina chochote cha ziada zaidi ya kuweka machuma tu chini. Kwakifupi ni kwamba reli yenu hata sisi mngetupa tenda tungewajengea, tuna vijana wa suma jkt wangeijenga kwa miezi 6 mana sio ndefu na haihitaji utaalamu mkubwa.
Wacha tuendelee kutumia diesel. Meanwhile, Kenya Railways has been making billions in revenue since operations started in 2017 wakati nyinyi bado mnangoja sijui bwawa gani limaliziae kwanza π.Tofauti ni kwamba reli yetu ni electrified ila yenu ni ya diesel, reli yenu haikuwa na ugumu wowote kuijenga, hata hiyo miaka miwili bado ni mingi, hiyo reli yenu haina chochote cha ziada zaidi ya kuweka machuma tu chini. Kwakifupi ni kwamba reli yenu hata sisi mngetupa tenda tungewajengea, tuna vijana wa suma jkt wangeijenga kwa miezi 6 mana sio ndefu na haihitaji utaalamu mkubwa.
007 can be very hilarious sometimes π π πThe highlighted part had me laughing in the aisles! π π
Better things to do yet 0.5 cents increase in unga prices is a countrywide crisis, triggering maandamano and chaos throughout the banana rΓ©publiqueAmesema continue selling us food π€£. Nyie endeleeni kutuuzia mahindi, we have better things to do than planting maize.
Power dynamics zinaenda kubadirika sana duniani baada ya Russia-Ukraine War, so huwezi jua strategies gani wenzetu watakuja nayo, si unaona hapo wana mikono yao tayari? Which means they are in control already.Hio nucleur ni ndoto bro hakuna mzungu anaeza kubali kuweka kinu cha nucleur africa unless awe russia, china, iran etc sio wale mabeberu never ever π π π π
Shida sio kujenga reli, je mumejenga reli ya aina gani? π π π πReli tulijenga na miaka mbili mnajenga na miaka kumi π
Freedom of speach ndio hnadanganya wakenya zaidiya million 55π π tena waziri mzima hahahhaha hii ni kali ya mwaka ujaoDonβt you love the freedom of media and speech in Kenya?β¦β¦ we all know nobody would dare challenge CCM lies in public without repercussion π€£π€£π€£π€£
Source from who mama ngina ??π π π π36% of your people have acces to electricity yet you are here bragging about having an electric train.
View attachment 2748565
Meanwhile Kenya is at 76%
View attachment 2748567
Tafuta source ya 2023 leta hapa na ukipata nitag mm mtu wa kwanza π π π πChanging Lives and Livelihoods in Tanzania, One Electricity Connection at a Time
The Tanzania Rural Electrification Expansion Program (TREEP) has helped Tanzania achieve one of the fastest access expansion rates in Sub-Saharan Africa over the past decade. Since its implementation began in March 2017, TREEP has provided more than 4.5 million people with access to electricity...www.worldbank.org
At least hapa World Bank imewahurumia kidogo inasema mko 37% π€£. A 1% difference is surely a big thing
Never ever bro sio kwa watu hao, alete nucleur upate umeme cheap viwanda vyao vife ?? Hvi unafkiri wanaeza kubali kirahisi wakat wao ni wabinafsi na wanyonyaji π πPower dynamics zinaenda kubadirika sana duniani baada ya Russia-Ukraine War, so huwezi jua strategies gani wenzetu watakuja nayo, si unaona hapo wana mikono yao tayari? Which means they are in control already.
Enda Google don't wait to be spoonfed everythingTafuta source ya 2023 leta hapa na ukipata nitag mm mtu wa kwanza π π π π
Our Sgr is of Electric Standards ,inahitaji umakini kujenga,Ina components nyingi na viwango vya Kimataifa sio sawa na Sgr yenu ya kuendeshwa Kwa chang'aa.π€£π€£Reli tulijenga na miaka mbili mnajenga na miaka kumi π
I know you know the truth about why your railway is taking too long to build. Si ati ni ju ya umakini ya kujenga ama sijui complexity; it is because you are waiting for your dam to fill up to provide the power needed for operations. Hivi Dar - Morogoro ilimalizwa kitambo mbona hamjaanza operations π? Mmeabiwa mngoje hadi August 2024 when the dam will be filled before you can start using the train.Our Sgr is of Electric Standards ,inahitaji umakini kujenga,Ina components nyingi na viwango vya Kimataifa sio sawa na Sgr yenu ya kuendeshwa Kwa chang'aa.π€£π€£
Mwisho you better reply in English kuliko kuharibu Kiswahili Kwa kuandika utumbo ππ