Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Endeleeni hivo hivo kuwaandika wakenya wakati nusu ya vijana hawana ajira.🤣🤣🤣Makes you proud, remittance? Over 90% inatoka Tz, tumewaajiri wakenya waliosoma soma kidogo wanatufanyia kazi tunawalipa ujira mdogo wanatuma nyumbani ndio iku make proud?
You think they have a choice? Many employers there deliberately look for Kenyan professionals for their skills. He's talking from a point of bitterness - a Kenyan probably got a job he was eyeing that's why he's always bitter.😂Endeleeni hivo hivo kuwaandika wakenya wakati nusu ya vijana hawana ajira.🤣🤣🤣
Hili ndio jeshi wanalojivunia hawana hata armoured personnel carrier bali wanatumia a makeshift civilian pick up it is a shame kwakweli.
hapa ndo pale hugeuka bwawa mvua ikinyesha sio? No wonders maana sioni drainage system!Nairobi Expressway lower road renovation going on well
View attachment 2746178
Si ajabu wameanza kujifariji Kwa kuvuta Bangi Kwa kukata tamaa🤣🤣
Haka kamkoa kadogo kinoma yaani barabara moja ya Kigoma au Tabora au Kagera inafika 300 km plus wakati huko hamna hata moja inafika 100 km!