NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,278
- 19,616
Umepost link, nikatumia hiyo link kukutoa ujinga, unageuza goli unaleta link nyingine.🤣🤣Kiswahili ni tatizo kubwa sana Kwa Wakunya,let me put in another way ndio uelewe.
Hii hapa ndio itakuwa the Longest dual carriage Highway in East and Central Africa,only in Tanzania
View: https://youtube.com/watch?v=1bV5XC-yOH4&si=VzSknarHY1x3Vr_x
Punguza upumbavu basi,wewe ndio hukuelewa Kiswahili ndio maana nakusaidia Kwa video maana Barabara inayozungumxiwa kwenye link ndio hii hapa.Umepost link, nikatumia hiyo link kukutoa ujinga, unageuza goli unaleta link nyingine.🤣🤣
Halafu tunaenda Na facts. Hivi between 48.9km na 152km Gani kubwa? Ama hesabu Ni balaa pia?🤣
One smart chap from Kenya!
we mwakabifu bado upo? 😀😀Punguza upumbavu basi,wewe ndio hukuelewa Kiswahili ndio maana nakusaidia Kwa video maana Barabara inayozungumxiwa kwenye link ndio hii hapa.
gani kubwa ndo nn?Umepost link, nikatumia hiyo link kukutoa ujinga, unageuza goli unaleta link nyingine.🤣🤣
Halafu tunaenda Na facts. Hivi between 48.9km na 152km Gani kubwa? Ama hesabu Ni balaa pia?🤣
Mbona unaweweseka (Ama mnatumianga neno Gani🤣🤣?). Umeongelea dualing of Tunduma road. Kutoka na link zako mwenyewe, barabara ni 48.9km Na nimekuelezea hapa Kenya kuna barabara kibao zenye urefu Zaidi ya hiyo ikiwemo ya 152km. Shida iko wapi? Ni nini cha kutoelewa hapo? 🤣🤣Punguza upumbavu basi,wewe ndio hukuelewa Kiswahili ndio maana nakusaidia Kwa video maana Barabara inayozungumxiwa kwenye link ndio hii hapa.
That's Tunduma Highway AND NOT road! Pia kuna dualing of Dodoma Ring road and Kibaha-Chalinze HighwayMbona unaweweseka (Ama mnatumianga neno Gani🤣🤣?). Umeongelea dualing of Tunduma road. Kutoka na link zako mwenyewe, barabara ni 48.9km Na nimekuelezea hapa Kenya kuna barabara kibao zenye urefu Zaidi ya hiyo ikiwemo ya 152km. Shida iko wapi? Ni nini cha kutoelewa hapo? 🤣🤣
Whatever you call it geuza. It's still won't be the longest dual carriageway in East Africa. It won't even be top 5 considering Kenya already has 3 roads of over 50km connecting to Nairobi and planning to dual Nairobi to Mombasa (480km) and Nairobi to Mau summit (220km). Hizo ma 40km zebu ni uji baridi kwetu.🤣That's Tunduma Highway AND NOT road! Pia kuna dualing of Dodoma Ring road and Kibaha-Chalinze Highway
Nairobi-Mombasa Highway, sponsor Bechtel aliutupilia mbali huo Mradi!Whatever you call it geuza. It's still won't be the longest dual carriageway in East Africa. It won't even be top 5 considering Kenya already has 3 roads of over 50km connecting to Nairobi and planning to dual Nairobi to Mombasa (480km) and Nairobi to Mau summit (220km). Hizo ma 40km zebu ni uji baridi kwetu.🤣
Unavuta bangi wewe au ni maumivu ya wivu na chuki 🤣🤣Mbona unaweweseka (Ama mnatumianga neno Gani🤣🤣?). Umeongelea dualing of Tunduma road. Kutoka na link zako mwenyewe, barabara ni 48.9km Na nimekuelezea hapa Kenya kuna barabara kibao zenye urefu Zaidi ya hiyo ikiwemo ya 152km. Shida iko wapi? Ni nini cha kutoelewa hapo? 🤣🤣
Km 218 sio longest? Onyesheni ya kwenu ambayo imeanza utekelezwaji badala ya porojo za planning.Whatever you call it geuza. It's still won't be the longest dual carriageway in East Africa. It won't even be top 5 considering Kenya already has 3 roads of over 50km connecting to Nairobi and planning to dual Nairobi to Mombasa (480km) and Nairobi to Mau summit (220km). Hizo ma 40km zebu ni uji baridi kwetu.🤣
There are plans to revive it. Na hata if doesn't happen, we still have longer dual carriageways than you. Mtaongea Ile siku mtajenga over 100km of dual carriageway.Nairobi-Mombasa Highway, sponsor Bechtel aliutupilia mbali huo Mradi!
KeNHA still searching for a firm to build Nairobi - Mombasa Expressway
It projects the project to take five yearswww.the-star.co.ke
Wazee wa plan 😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣There are plans to revive it. Na hata if doesn't happen, we still have longer dual carriageways than you. Mtaongea Ile siku mtajenga over 100km of dual carriageway.
mwambie Zanzibar wana some serious projects za Highways za flyovers pia!Km 218 sio longest? Onyesheni ya kwenu ambayo imeanza utekelezwaji badala ya porojo za planning.
Kama ni planning tuu,the whole highway from Dar all the way to Tunduma border 930 km iko kwenye plan ya kuwa dual raodfl.
Morogoro -Dom planning
Arusha-Moshi-Holili planning
Mwanza-Shinyanga planning
Mwanza-Musoma-Tarime-Sirali Border planning
Njombe-Makambako planning
50km of Dom in all directions iko planning
Dom Ring Road 120km dual carriage way is under construction
Hivi wewe nini huelewi? Only 48.9 of the 218 itakuwa dual carriageway....and that's kama itajengwa maanake ni kitu mmekua mkiongelea since 2015 huko.🤣Km 218 sio longest? Onyesheni ya kwenu ambayo imeanza utekelezwaji badala ya porojo za planning.
Kama ni planning tuu,the whole highway from Dar all the way to Tunduma border 930 km iko kwenye plan ya kuwa dual raodfl.
Morogoro -Dom planning
Arusha-Moshi-Holili planning
Mwanza-Shinyanga planning
Mwanza-Musoma-Tarime-Sirali Border planning
Njombe-Makambako planning
50km of Dom in all directions iko planning
Dom Ring Road 120km dual carriage way is under construction
Total ya Zanzibar ni zaidi ya km 200 ,Unguja patachafukwa hatari 🔥🔥🔥mwambie Zanzibar wana some serious projects za Highways za flyovers pia!
Na akikuonesha ujenzi ww fanya kunitag tu😅😅Km 218 sio longest? Onyesheni ya kwenu ambayo imeanza utekelezwaji badala ya porojo za planning.
Kama ni planning tuu,the whole highway from Dar all the way to Tunduma border 930 km iko kwenye plan ya kuwa dual raodfl.
Morogoro -Dom planning
Arusha-Moshi-Holili planning
Mwanza-Shinyanga planning
Mwanza-Musoma-Tarime-Sirali Border planning
Njombe-Makambako planning
50km of Dom in all directions iko planning
Dom Ring Road 120km dual carriage way is under construction
mwambie Zanzibar wana some serious projects za Highways za flyovers pia!
Hivi Kati ya Nairobi - Marua 152km Na Tunduma road 48.9km ni gani plan na hani reality.🤣🤣🤣Wazee wa plan 😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣
Km 218 sio longest? Onyesheni ya kwenu ambayo imeanza utekelezwaji badala ya porojo za planning.
Kama ni planning tuu,the whole highway from Dar all the way to Tunduma border 930 km iko kwenye plan ya kuwa dual raodfl.
Morogoro -Dom planning
Arusha-Moshi-Holili planning
Mwanza-Shinyanga planning
Mwanza-Musoma-Tarime-Sirali Border planning
Njombe-Makambako planning
50km of Dom in all directions iko planning
Dom Ring Road 120km dual carriage way is under construction
74% ya 152 km si 84 km inayoonyeshwa kwenye clip! Mkundustan wacha upumbavu!Nairobi Marua road, 152km ndio hiyo. Wewe tuonyeshe Tunduma road.🤣🤣🤣
View: https://youtu.be/bX7dHNrxY0U?si=8MHiEtD6tlSBxK0l