ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,560
- 90,008
Na inaonekana ndio mradi unaokuuma vibaya sana na haupendi kuusikia 😅😅😅Nyufa zimeanza kutokea katika bwawa la rufiji🤣🤣View attachment 2743137View attachment 2743138
Kipcoco Arap Kipreborn🤣🤣🤣Nyufa zimeanza kutokea katika bwawa la rufiji🤣🤣View attachment 2743137View attachment 2743138
Hivi za Kwanza mbili Ni Gani?🤣
Wueh, nakwambia hawa huwa wanaishi kwenye bubble.🤣Karibu danganyika, upande mwingine wanaomba msaada kwengine wanajisifu wanalisha afrika🤣🤣View attachment 2743135
Ni Kama vile zizi la ng’ombe wakati wa masika
Tuna mlaumu nyerere kwa kuleta ujamaa danganyika.Wueh, nakwambia hawa huwa wanaishi kwenye bubble.🤣
Hivi za Kwanza mbili Ni Gani?🤣
Man yaani bwawa lipo kwenye final touches wewe unaokoteza vipicha vya mitandaoni , Tazama mzigo umejaa maji, Unyama mtupu . $3billions 100% funded by the Gov of Tanzania.. Money Talks . none of our Poor & Hunger stricken neighbors can undertake projects of such magnitude.Nyufa zimeanza kutokea katika bwawa la rufiji🤣🤣View attachment 2743137View attachment 2743138
Kwenye hii nyanja tuko dunia ya kwetu hapa East Africa.Wakunya mnaitwa huku,MNH ni Kati ya Vituo vi 4 tuu Africa vya tiba ya Ini.
View: https://twitter.com/MuhimbiliTaifa/status/1699801995811635435?t=Flx2CH-NaIsSkg6zoDYM9w&s=19
Uandae AFCON huna hata kiwanja kimoja ambacho ni CAF accredited huu ni upumbavu uliopitiliza.Watu wanataka kuandaa AFCON alafu kwenda kwenyewe AFCON ni ndoto za alinacha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
NDINDA nilipokuambia Mbongo ni dhambi kutaja vumbi hivi ndio nilimaanisha. Miji yenu ni main road pekee, hizi zingine hamzitambui.EPC +F Igawa-Songwe-Tunduma Project mambo inazidi kunoga,hapa ni Tunduma survey ya design inaendelea 👇
View: https://youtube.com/watch?v=1bV5XC-yOH4&si=JEMcWIEMWI_zrR7s
Sizitaki mbichi hizi 🤣🤣🤣Afcon ni world cup?
Atleast mfike levels cecafa haijawahi fika tuwatambue.
Afcon ni upuzi ingine Haina maana hapa Africa
Meli ya kwanza kwa mwaka 2023 🤣🤣🤣Baada ya muda mrefu Lamu port yapokea meli kutoa gundu 😆😆😆