ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,560
- 90,008
Sitombir wakumbafu.Let’s see the latest FIFA rankings… that’s the standard bearer…. Then you can talk about East Africa and Afcon stories….🤣🤣🤣
"We only inivest ini thingsi thati helpu Mwananchi"🤣🤣🤣Tanzania inaaguka mbele ya macho yetuView attachment 2742513View attachment 2742514
Huyu jamaa bhn ana account nyingi ila utamjua tu avatar na muandiko wake, mwanangu sana uyu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣AROOOOOOH!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!😎😎😎😎😎😎😎😎😎
Kwa sasa kila kitu Tanzania ikigusa imoooo, kwenye soka ndiyo hatushikiki kabisa hapa East Afrika, wale Uganda walikuwa wanakufa mechi zote mbili home and away sema dharau zilituponza ile mechi ya pili. Na ninawaambia tu Tanzania ndiyo itakuwa nchi ya kwanza EA kufuzu kombe la dunia shika maneno yangu, hii ni kwasababu tupo serious hatuleti uchale.
Sasa amekiri kua tanzania ndio inawalisha wao na africa nzima 😅😅😅😅😅
Na wameumia kichizi yaani wameumia san tena sana 😅😅😅😅 ww huwaoni kama wamechanganyikiwa mwengine anakuomba FIFA rankingsWatu wanataka kuandaa AFCON alafu kwenda kwenyewe AFCON ni ndoto za alinacha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Afcon ni world cup?
Alisikika Mkunya mwendahaja kubwa kwenye mifuko ya Sandarusi pale Kibera!Afcon ni world cup?
Atleast mfike levels cecafa haijawahi fika tuwatambue.
Afcon ni upuzi ingine Haina maana hapa Africa
Sasa FIFA rankings watatugusia wapi, timu ya taifa tuko mbali kwa sasa, club level ni kama mbingu na ardhi, viwanja hawatukaribii mpaka timu zao itabidi zicheze huku. Wasifosi tufanane, tushawaacha mbalii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Na wameumia kichizi yaani wameumia san tena sana 😅😅😅😅 ww huwaoni kama wamechanganyikiwa mwengine anakuomba FIFA rankings
Kameumia ☝️☝️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Afcon ni world cup?
Atleast mfike levels cecafa haijawahi fika tuwatambue.
Afcon ni upuzi ingine Haina maana hapa Africa
Dodoma imeiacha Nairobi mana Dom iko well organized, Nairobi ni kasehemu kadogo kenye maendeleo lkn sehemu kubwa ni pori na slums, li Dodoma ni likubwa sana mkuu, Nairobi tunaipa government city (Magufuli city) na haitoboi.Dodoma is closing the gap with Nairobi so quickly
View: https://youtube.com/watch?v=n_tLJ3MtVa0&si=dcvhl6DtmAo-2UtE