Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

And without a shame in their face .. these Bongolalas want to talk about private entrepreneurship…. Negro please!…… no wonder the gap between us keeps expanding….. they depend on CCM for every major project…. Hakuna private business in Bongo….🀣🀣🀣
 
Una matatizo wewe kama sio laana,machinjio ndio yanataguta soko si ndio?
Wewe ndio mwenye matatizo kwakua hauna akili na elimu yako ni duni, na kwaujinga badala ya kuuliza na kujifunza unaleta ujuaji na comments za kipumbavu.

machinjio ndio yanataguta soko si ndio?
Swala sio soko, kuna hii kitu nenda kajifunze "Codex Alimentarius"

Kwa akili zako za mijadala ya vijiweni na wajinga wenzako huko, nchi zinanunua bidhaa toka nchi nyingine kama kwenu mnavyonunua vitumbua nyumba ya jirani πŸ˜‚ Kwenye "Codex Alimentarius" ni FAO/WHO program na WTO agreement "Sanitary and Phytosanitary"

Ulivyo mjinga unafikiri ni soko tu, STUPID!
 
Duh hiyo Kwala nii balaa wakuu saivi ndio nimeanza kuwaelewa .. hakuna takataka yoyote ya kukaa sentence moja na SINOTAN INDUSTRIAL PARK .. sasa najiuliza kwahyo pwani region ni more developed interms of industrialization than DAR.? Mana ukiachilia mbali wingi wa viwanda vilivyopo pwani and they also building Sino tan industrial park, kamaka industrial park .si balaa+ proposed Bagamoyo port .. PWANI region ni yamotoo πŸ‘‡
View: https://youtu.be/GxSve6cK4r8?si=PVIGgZsvF94tNGas. Kenyans hili gari la Tz limewaka na hamtawahi kulikamata tena ..mark my words
 
Jinga la kwanza hili πŸ˜‚πŸ˜‚. Biashara inaanzia sokoni.Hata idadi ya Ng'ombe wanakuwa exported imeongezeka mara dufu ni Juhudi za Mwendazake kutafuta soko 🀣🀣🀣

Naulizaga swali hivi Kwa miaka 6 ya Mwendakuzimu Kuna mradi gani hasa aliukamilisha? Tuanze na machinjio nitajie.

View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1698716038316048484?t=ZU6fmxkZzn6yEe3RlsWpJg&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…