Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alaf ajabu hata hawashtuki kua dunia ya sasa sio ile waliokua wakiongopa yani hawashtukia kabisa kua mambo yashabadilika πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… bado wana ule uhuni wa kulanina, uhuni wa 90s wakat dunia iko 2023

Na wengi wao wanaoshtuka ni wale wanaotoka nje ya kenya ila hawa kwangu pakavu tia mchuzi wanahisi dunia bado iko 90s kua walikua wakidanganya watu wanawakubalia tu 😁😁😁
 
Mim kuanzia leo nikijua mtu fulan ni mkenya, lazima nimchape bakora.. akisema kwann nimemchapa.. namwambia acheni uongo nyie wajinga.. afu pia mnaandamaje kisa unga?, hivyo nimekuchapa kwa niaba ya wajinga wenzako.. 'akileta za kuleta' namwitia mwiz apigwe auwaweπŸ˜†.. The best 007 anasemaga... wanatakiwa wapungue mana wako weng sana kweny kanch kadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…