Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The true definition of make up😀😀😀 hayo sasa ndio ma make up ya ukweli, huwezi ona picha ya Dar yenye filter kama hizo, reasons ni kwamba majengo yao mengi ni ya 1970.
Maturity ni kuipa pongezi panapostahili lakini sio kuropokwa tu, jambo likiwa nzuri ama kibaya.

Huwa nakuheshimu sana na pia picha unazo post lakini nimegundua kuwa pia wewe hauna tofauti na wenzako wabongo... Ipo lwa damu aiseh...
 
The true definition of make up😀😀😀 hayo sasa ndio ma make up ya ukweli, huwezi ona picha ya Dar yenye filter kama hizo, reasons ni kwamba majengo yao mengi ni ya 1970.
hahaha wewe ndio umebobea hiyo department ya makeup
 
The true definition of make up😀😀😀 hayo sasa ndio ma make up ya ukweli, huwezi ona picha ya Dar yenye filter kama hizo, reasons ni kwamba majengo yao mengi ni ya 1970.

yani filter zaidi ya madem wa fb😀😀
 
In this thread you will never get a winner...waste of time..
 
And yet you guys all you keep throwing in here are the buildings of Nairobi... It funny how you keep switching standards to fit your narrative...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…