Sasa hivi App haipo vizuri kabisaMods tafadhalini mturuhusu watumiaji wa App kuweza kufatilia huu Uzi.
Ni zaidi ya week Sasa siwezi kusoma chochote huku. Sasa bila huu uzi kwangu JF haina ladha.
Maxence Melo Active Paw
Umemdaka🤣🤣🤣Ntakusamehe sababu naelewa wewe mshamba.
Google earth is not LIVE.
Na kama unavyoona hapo bottom left, tarehe ya picha kupigwa imeandikwa.
In this case the date is 2/2/2021.
In short, You're looking at an image that is 2 and a half years old.
View attachment 2725434
The same Google earth tells us that the Dodoma imagery was taken in January 31, 2023.
View attachment 2725443
Kawaulize wao.🤣🤣🤣🤣 hayo mabango yatasaidia nn?
Kunyaland is ahead 😂😂You don't need to post every tweet about Tanzania here.
Even in cases where Kenya is ahead by a country mile, like avocados.
Mkuu kumbe hata wewe app inagoma kwenye huu uzi? Nahisi walichofanya mods ni kwamba kwakuwa hawataki tutumie app wanaangalia nyuzi pendwa za members alafu wanaku ban kuingia kwenye huo uzi kwa kutumia app mpk utumie browser, hii si sawa kabisa.Mods tafadhalini mturuhusu watumiaji wa App kuweza kufatilia huu Uzi.
Ni zaidi ya week Sasa siwezi kusoma chochote huku. Sasa bila huu uzi kwangu JF haina ladha.
Maxence Melo Active Paw
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 acha tu nicheke na leo nimecheka sana ww unamisaidia mm au unataka kunifundisha nn?? Hvi ww umaeza niambia nn nikakuelewa??Ntakusamehe sababu naelewa wewe mshamba.
Google earth is not LIVE.
Na kama unavyoona hapo bottom left, tarehe ya picha kupigwa imeandikwa.
In this case the date is 2/2/2021.
In short, You're looking at an image that is 2 and a half years old.
View attachment 2725434
The same Google earth tells us that the Dodoma imagery was taken in January 31, 2023.
View attachment 2725443
🤣🤣🤣🤣🤣 👇👇👇👇 naww msaidieUmemdaka🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 acha tu nicheke na leo nimecheka sana ww unamisaidia mm au unataka kunifundisha nn?? Hvi ww umaeza niambia nn nikakuelewa??
Nenda ukatafute 50km tarmac road tatu city na bro mark my words ukipata just tag me nafunga acc forever manyuziiii
View attachment 2725474
Uzuri Kenya nzima kuna Google Streetview. Unaweza ona barabara za Tatu City.
Kwa Dom city huu ni uchafu mkuu, usifosi mambo unajiaibisha.Uzuri Kenya nzima kuna Google Streetview. Unaweza ona barabara za Tatu City.
View attachment 2725381
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ama kweli dawa imepenyaWewe ni mwehu siku zote anakufahamu vizuri sana😆 😆 😆 ., kazi yako kwangu iliisha zamani sana..,
Pumzika ume hangaika sana🤣🤣🤣🤣🤣 👇👇👇👇 naww msaidie
Tatizo Sio kwenda kwenye browser mkuu..Hapa umeua mbu kwa rungu mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu kumbe hata wewe app inagoma kwenye huu uzi? Nahisi walichofanya mods ni kwamba kwakuwa hawataki tutumie app wanaangalia nyuzi pendwa za members alafu wanaku ban kuingia kwenye huo uzi kwa kutumia app mpk utumie browser, hii si sawa kabisa.
Kachanganyikiwa we mvumilie tu bro 😅😅Kwa Dom city huu ni uchafu mkuu, usifosi mambo unajiaibisha.
Leta hizo 3000 Houses tuoneNimekuambia ni chizi tu atalinganisha tatu city yenye 50km of roads, 75+ businesses, 3000 houses and apartments na dodoma yenye majengo 10 ya serikali
Leta 3000 houses za dodomaLeta hizo 3000 Houses tuone
Nimecheka kwa nguvu sana tena sana yani mtu anazunguka mitaa miwili 🤣🤣🤣 alaf anarudi pale pale basi kamalizaHow Nairobi Old CBD uptown looks like in 2023..,, Dar haifikii hizi looks..., ichoboy01 dadeki..,,
View: https://www.youtube.com/watch?v=zIAf3JBqFhk&t=11s
and the street vibe, in EAC hamna..,,
View: https://www.youtube.com/watch?v=QZzMl8Iwypw&t=169s