Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Advance in what? Kitu gani ?? Tanzania imeanza kutumia smart driving licence 10yrs ahead of u mukiwa bado munatumia driving licence za vitabu 😅😅

Advance in what?? Ndio swali langu
Hadi leo wanashangaa LUKU na electronic traffic notification na EFD kwenye gas stations, watu wa Tech hao…..😅😅
 
Hadi leo wanashangaa LUKU na electronic traffic notification na EFD kwenye gas stations, watu wa Tech hao…..😅😅
Sifa za uongo ndio zimewajaa alaf sasa unajiuliza wakidanganya wanapata faida gani 😅😅😅😅 yuko radhi adanganye lakini afe njaa
 
Tumeambiwa kuna 50km tarmac ,3000 houses na 75 companies 🤣🤣🤣🤣🤣

Acha tu wanasiasa wao waendelee kua matajiri milele na milele sio kwa akili hzi 👇👇
After 15 yrs now








Ile renders walishangilia before 15 yrs ago 😅😅👇👇👇👇👇
 
Pumzika mwarabu koko NairobiWalker ashafanya kazi safi kwa kutuletea hio miji miwili kwa scale moja. Dom linganisha na lodwar.
 

Ntakusamehe sababu naelewa wewe mshamba.
Google earth is not LIVE.

Na kama unavyoona hapo bottom left, tarehe ya picha kupigwa imeandikwa.
In this case the date is 2/2/2021.
In short, You're looking at an image that is 2 and a half years old.



The same Google earth tells us that the Dodoma imagery was taken in January 31, 2023.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…