ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,491
- 89,937
Asas huyu huyu mnec wa Iringa au mwingine?
Kumbe ww sio chawa 🤣🤣🤣 sasa kama huna interest mbona umeisemea?? Au ww ndio msemaji wa TRC ?? Au hutaki watu wajue kua ww ni chawa ???Mimi sio chawa wewe nyumbu,kwanza Sina interest na reli hata wakiitelekeza ni sawa tuu Mimi ni mdau wa Barabara.
View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1691478186406584320?t=Ri0G9k3M-E-v7x9BIPOAhA&s=19
Mimi sio chawa Bali shabiki wa sera za mama.Kumbe ww sio chawa 🤣🤣🤣 sasa kama huna interest mbona umeisemea?? Au ww ndio msemaji wa TRC ?? Au hutaki watu wajue kua ww ni chawa ???
Mdau wa barabara alaf unaisemea reli??😅
Wako broke 😆😆Kenya kila mahali pako hovyo watu wamekaa tu kihasarahasara hawana mbele wala nyuma, second biggest city, Africa tuna safari ndefu mno
View: https://youtu.be/Ji9OuaNx9eQ
Dude, 90% of Dar looks worse than this. Huwa mnachekesha sana mnavyoongea kambe mpo Joburg wakati nchi yenu ni ya ovyo sana. 🤣 🤣 SeeKenya kila mahali pako hovyo watu wamekaa tu kihasarahasara hawana mbele wala nyuma, second biggest city, Africa tuna safari ndefu mno
View: https://youtu.be/Ji9OuaNx9eQ