Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu upumbavu Africa sijui utaisha lini, mzungu tajiri na maarufu anapapatikiwa mwishowe anatoa million 60 hata muuza mahindi mmoja huko vijijini wanaweza kutioa within a second, poverty pornography 🚮

 
Museveni akae mbali na hili genge la makuwadi wa the globalist.
Museven kaiweka hii nje kama kutusanua. Huyo dogo na genge lake wameenda huko in what capacity? If personal, ana miliki kampuni gani na tangu lini na ina uwezo wa aina gani kifedha wa kuundertake mradi of that magnitude?

Something haijakaa sawa hapa.
 
Geza Ulole hivi huyu Abdul Halim Hafidah Ameir ni nani na anamiliki kampuni ipi kuweza kuwa na uwezo wa kukutana na Museveni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…