chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Miundombinu ya kisasa inazidi kuongeza uzuri wa Tanzania, ferry inavyoflow na hilo daraja na background ya milima ni kitu huwezi kuona kunako shakahola, ferry ya Mombasa tu ipo kama machine ya kutoa uhai 😢
Hata dar slum hainaWould you show me a port in Dodoma? Would you show me a hotel like this in Dodoma? Wacha kufikiria kama sokwe.
View attachment 2714671
Subiria Ihumwa dry port ikamilike we nyumbuWould you show me a port in Dodoma? Would you show me a hotel like this in Dodoma? Wacha kufikiria kama sokwe.
View attachment 2714671
Kama ni kweli mama ataharibu uhusiano na DRC aache upuuzi!Kumbe!
unamringishia nani the whole of Mombasa haina 5 star hotel?Would you show me a port in Dodoma? Would you show me a hotel like this in Dodoma? Wacha kufikiria kama sokwe.
View attachment 2714671
chongchung sinilikwambia labda alete marina hotel umeona kaleta 😅😅😅😅😅Would you show me a port in Dodoma? Would you show me a hotel like this in Dodoma? Wacha kufikiria kama sokwe.
View attachment 2714671
Umeamini sasa kaleta marina hotel 😅😅😅 hawana kitu kingine zaidi ya marina hotelSubiria Ihumwa dry port ikamilike we nyumbu
Bro, all roads lead to Rome.Huyu Janabi kumbe alikuwa daktari wa Kikwete, alafu ndie akawa anamtibu Magu? [emoji848][emoji848]
Magu alikuwa na tatizo la Moyo, JKCI ndicho kitengo kikuu cha moyo Tanzania chenye wataalam na vifaa vyote muhimu na mkurugenzi wake ndiyo huyo Janabi. Unafikiri nini kingezuia daktari bingwa wa moyo kumhudumia, daktari wake hakuwa bingwa (specialist) wa kila kitu.Hapana kipindi cha Magu alikuwa JKCI! Msianze majungu yenu maana najua unataka kujenga conspiracy! JPM daktari wake anajulikana alitoka kulekule!
Akili za Ukabila ndo zimemuua jamaa wako alirundika Wasukuma wenzie kumzunguka badala ya kuchagua competence!Magu alikuwa na tataizo la Moyo, JKCI ndicho kitengo kikuu cha moyo Tanzania chenye wataalam na vifaa vyote muhimu na mkurugenzi wake ndiyo huyi Janabi. Unafikiri nini kingezuia daktari bingwa wa moyo kumhudumia, daktari wake hakuwa bingwa (specialist) wa kila kitu.
You don't make any sense, naona unajaribu kupotezea kiaina.Akili za Ukabila ndo zimemuua jamaa wako alirundika Wasukuma wenzie kumzunguka badala ya kuchagua competence!