Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,191
- 107,783
si sababu ya msingi kuzuia Bureau de Change kama unafanya utalii! Nakataa! Hebu tuambie zile fedha za Plea Bargaining zilifikaje Uchina?Ona matatizo ya deregulation ya serikali ya Samia na utakashaji wa fedha kwenye Bureau de change, sasa hivi dollar moja ni sawa na Tsh 2450. Magu kwa miaka 5 alibaki kati ya Tsh 2200 na 2300.
mbona unaruka miaka na categories unachanganya wewe Kundustan vp? Au unafikiri hatuwezi kupitia hizo links?Thinking capacity yako ni ndogo, you are equating individuals prowess to the success of an entire industry. In sub sahara Africa ni south Africa pekeake imetuzidi, tanzania ni mtoto sana
SOUTH AFRICA
- Entertainment and media revenue in South Africa in 2019137.8bn ZAR
- Consumer internet spending in South Africa 201854.4bn ZAR
- Number of pay TV households in South Africa in 20186.4m
KENYA
- Internet entertainment and media revenues in Kenya in 20181091m USD
- TV and video market revenue in Kenya in 2018315m USD
- Box office revenues in Kenya in 20184.9m USD
NIGERIA
- Entertainment and media revenue in Nigeria in 20195.55bn USD
- Number of pay TV households in Nigeria in 20196.7m
- Music industry revenue in Nigeria in 201936m USD
TANZANIA
- Internet entertainment and media revenue in Tanzania in 2018338m USD
- Advertising revenue in Tanzania in 2019102m USD
- TV and video market revenue in Tanzania 2018149m USD
GHANA
- Internet entertainment and media revenue in Ghana in 2018957m USD
- Advertising revenue in Ghana in 2019192mn USD
- Most popular television stations in Ghana 2017Adom TV
Source;
Topic: Media in Africa
Find the most up-to-date statistics and facts about the media industry in Africawww.statista.com
Nimekuwekea source kwani kusoma ni shida.Only stupid person like you can post this nonsense. Can you please give us a source of this nonsensical blogger?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
vipo vichwa kumi na saba na hicho ni kimoja kati yavyo anashupaza shingo ya nini arelaxnakuonesha kazi zake ni nini 🤣🤣🤣🤣 shida yako unataka kulazmisha chumvi kua sukari kama unataka kuona za passengers just wait bro
Hizo ni revenues za media industry in SSA, kipi kina kuchanganya bongolalambona unaruka miaka na categories unachanganya wewe Kundustan vp? Au unafikiri hatuwezi kupitia hizo links?
ukweli mchungu
Umebaki peke yako leo. Nyang'au wenzako wako Kibera wanafanya mazoezi ya kuvaa sufuria tayari kwa Jumatano ijayo🤣They have always been taught by CCM from childhood to hate Kenya.
Azam hii au nyingine.He is making more money than any stupid Kenyan in entertainment industry.
On TV houses, Azam is making money than any TV house in Kenya, in football, only one football club in Tanzania makes money than all clubs in Kenya.,[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
wewe chizi kweli 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣After sponsoring KPL azam imebidi wapandishe bei ya vifurushii.
Hii isipokuwa danguro sijui!kenya ikifika level hizi munitag 😄 😄 😄 😄
Ukiona hii picha je utafurahia??🤣🤣🤣Do you see a pattern, kuna watu watalia sana🤣🤣🤣🤣View attachment 2697548View attachment 2697549View attachment 2697550
Hii sio updated one tanzania iko over 85b hvi tunavoongea