The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Shida ya Tz gated community ipo scattered sn, mfano Samia housing ilipaswa ijengwe hapa, yn ilitakiwa tuwe na eneo moja ambalo tunalijaza gated community zen likijaa tuhamie lingine, lkn unakuta hizo community kiasi ziko hapa zingine ziko kule zingine ziko huku yn vurugu mtindo mmoja, mwisho wake mashakahola yanaona kama yanatuzidi kumbe sio kweli mana yenyewe yameweka sehemu moja tu, ndiyo maana mashakahola yanapinga report ya World Bank kwamba tumewazidi mbali sn kwenye gated community kumbe ukiangalia ni kweli sema sisi zetu tumezitawanya.
Jeshi la Wananchi Tanzania hutumia ndege za mwaka gani!?
View attachment 2694495
Yanga ilishafanya kitambo mkuu, kwa sasa Simba wameamua ku copy na ku paste kila wanachofanya Yanga kama Boss wao anavyo mcopy Bakhressa.
Yanga hawakuzindua jezi juu ya mlima bali walianika jezi chafu zenye jasho tuu [emoji16]Yanga ilishafanya kitambo mkuu, kwa sasa Simba wameamua ku copy na ku paste kila wanachofanya Yanga kama Boss wao anavyo mcopy Bakhressa.
Hatuwezi kuzindua jezi mlimani mkuu, huo ni upungufu wa akili, timu gani umewahi kuona wanazindua jezi mlimani? Ni vile Simba inatafuta njia ya kwenda sambamba na Yanga kwa zama hizi za kina Hersi, mkuu hizi zama Yanga itasumbua sn na kwakifupi tu Yanga haishindani na timu yoyote hapa Tz, iko mbali sn, Yanga tumeshafikia level za kuuza mchezaji kwa $1...m hiyo siyo level za East and Central Africa kaka, mtuvumilie kwa ss, sisi tushatoka huko kwenye comedian football [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanga hawakuzindua jezi juu ya mlima bali walianika jezi chafu zenye jasho tuu [emoji16]
Ukumbuke sisi ni mabalozi wa Visit Tanzania wengine Visit Serengeti sijui Zanzibar [emoji16]Hatuwezi kuzindua jezi mlimani mkuu, huo ni upungufu wa akili, timu gani umewahi kuona wanazindua jezi mlimani? Ni vile Simba inatafuta njia ya kwenda sambamba na Yanga kwa zama hizi za kina Hersi, mkuu hizi zama Yanga itasumbua sn na kwakifupi tu Yanga haishindani na timu yoyote hapa Tz, iko mbali sn, Yanga tumeshafikia level za kuuza mchezaji kwa $1...m hiyo siyo level za East and Central Africa kaka, mtuvumilie kwa ss, sisi tushatoka huko kwenye comedian football [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha, watalipa hiyo pesa na wataruhusiwa kuendelea, hata wakizuiliwa, timu yenu ya Taifa na mshindi wa pili anayeshiriki mashindano ya shirikisho lazima zitachezea Tanzania, hamuwezi kutukwepa.Afadhali kupigwa ban kuliko kucheza Tanzakundu
Tanzania haikwepeki kwa kitu chochote si mpira wala chakula au remitansi [emoji16]Hahahaha, watalipa hiyo pesa na wataruhusiwa kuendelea, hata wakizuiliwa, timu yenu ya Taifa na mshindi wa pili anayeshiriki mashindano ya shirikisho lazima zitachezea Tanzania, hamuwezi kutukwepa.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huoni hata aibu 🤣🤣🤣🤣Afadhali kupigwa ban kuliko kucheza Tanzakundu
🤣🤣🤣🤣🤣Hivi hawa wakenya Wana akili kweli?, Pamoja na uongo wote huu bado walimchagua kuwa rais wao.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Embu na wenzetu walete vichwa vyao tuone ndani pakoje [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ni ya mzigoEmbu na wenzetu walete vichwa vyao tuone ndani pakoje [emoji16]View attachment 2695559View attachment 2695560