Kupunguza hasara kutoka 60b mpaka 35b maana yake imepiga hatua kubwa 😅😅😅 tena ndani ya mwaka mmojaIf you had the money, your loss making planes won't have been confiscated
Baada ya kulipa dolla 165m ama unadhani mlisamehewa Kama kawaida yenu🤣🤣🤣Ndio tunasubiri wakamate tuone sasa 😅😅 kuna moja ilikamatwa uholanzi isharudi unayo taarifa hio ?? Hii mbinu sisi tunaijua vzr sana tutakwenda hvi hvi mpaka mutaizoea air tanzania manake ndio inawanyima usingizi kwa sasa
Hakuna pesa inalipwa leta ushahidi pesa imelipwa 🤣🤣🤣🤣🤣Baada ya kulipa dolla 165m ama unadhani mlisamehewa Kama kawaida yenu🤣🤣🤣
Hebu zitaje hizo berth tatu zinazo milikiwa na foreigner Ali hassan JohoMoja wapo ni tycoon hassan joho anamiliki bearth kama tatu hvi hapo mombasa 🤣🤣
Afadhali mungetuuzia sisi hio bandari yenu tungeipaisha juu Kama ya mombasa kuliko kuwapa UAE sasa tarajia wahindi, wapakistani na wa Philipino kujazana Dar slum.Nani anayeendesha bandari ya Mombasa Kama sio wageni?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Conference Tourism inarudi kwa kasi sana, maliza kujenga ile Kilimanjaro Conference Centre na pale Dodoma, waweke na moja pale Zenji then the game is ours. Wanaotaka kila siku kwenye KICC au Kigali waende, wanaotaka kuchange weather with a little bit hit na night life ya ukweli after conference waje Dar pale JICC tutawahost, wakitamani dryish na winery environment tupo Dodoma, wakitaka kula pweza na beach cruise after conference tupo, au wakitaka kupasha cha Arusha na hiking au Safari trips kwenye parks zenye majina Makubwa duniani after conference tupo……..kote huku kuna International Airport na watapanda ndege zetu sio za mkopo, na Five Stars Hotel za ukweli. The future is ours to take, kuna pesa ndefu sana hapa tukijipanga.
KQ inajiendesha kwa faida?If you had the money, your loss making planes won't have been confiscated
Hahahaha🤣🤣🤣Hebu zitaje hizo berth tatu zinazo milikiwa na foreigner Ali hassan Joho
KQ haitumii ushuru wa wananchi Kama ActlKQ inajiendesha kwa faida?
Na ukipata sehem bandari imeuzwa unitag nifunge acc 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Afadhali mungetuuzia sisi hio bandari yenu tungeipaisha juu Kama ya mombasa kuliko kuwapa UAE sasa tarajia wahindi, wapakistani na wa Philipino kujazana Dar slum.
Ndio maana mumekaa kama makondoo🤣KQ haitumii ushuru wa wananchi Kama Actl
Nyinyi kwani muna bandari??🤣🤣🤣Afadhali mungetuuzia sisi hio bandari yenu tungeipaisha juu Kama ya mombasa kuliko kuwapa UAE sasa tarajia wahindi, wapakistani na wa Philipino kujazana Dar slum.
Ukipata ushahidi ililipwa tag me 🤣🤣Baada ya kulipa dolla 165m ama unadhani mlisamehewa Kama kawaida yenu🤣🤣🤣
Wewe kesho nataka nikuone umevaa sufuria kichwani🤣🤣KQ haitumii ushuru wa wananchi Kama Actl
Do you understand the meaning of "dispute", before the rulling can't pay, but after rulling is when our financial muscle comes in [emoji123][emoji123][emoji123]If you had the money, your loss making planes won't have been confiscated
Tuonyeshe mkataba Kati ya GoK na foreigner Ali hassan Joho, hii hapa ya Dp world na Tanzania👇🏿👇🏿Hahahaha🤣🤣🤣
Kenya hadi pesa ya kulipa mishahara mnakopa nje ya nchi, viwanja vya mpira hamna pesa ya kuvikarabati, Kenya hii masikini watu wanakufa njaa Kila siku?. By the way Dar port is ranked position 312, while Mombasa port 324[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Afadhali mungetuuzia sisi hio bandari yenu tungeipaisha juu Kama ya mombasa kuliko kuwapa UAE sasa tarajia wahindi, wapakistani na wa Philipino kujazana Dar slum.
Wewe, KQ Kila siku inapata "bail out" from the Government. ATCL haijawahi kupata hata Shilingi Moja toka Government, TZ sio failed stateKQ haitumii ushuru wa wananchi Kama Actl