chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,083
We jamaa huwa huchoki na hizi matweets zako? Hamna anything meaningful kwa hii thread, ni matweets tu zako. If obsession was a person[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji28][emoji28][emoji28]
Leo hawa nyang'au naona hawajisifii na hiyo expressway yao wanayoiposti kila sikuπ€£π€£
Hayakosi cha kujisifia utashangaa yanajisifia democracy πππ ila kimoyomoyo yanagugumia maumivu π€£π€£π€£Leo hawa nyang'au naona hawajisifii na hiyo expressway yao wanayoiposti kila sikuπ€£π€£
Aka Venus StarHayakosi cha kujisifia utashangaa yanajisifia democracy πππ ila kimoyomoyo yanagugumia maumivu π€£π€£π€£
Nani kama baba?
Kitengela mtu wangu.Naangalia hizi barabara za Africa capital sizimalizi, au hizi ni za maandamano tu? πππ
Zambia ndio wanatukwamisha tukitaka ku upgrade systems kuongeza ufanisi mpaka tujadiliane nao wakubali ndio maana Mwakyembe alisema ni bora kila mtu abaki na kipande chake.TAZARA wana fail sana yani...
Hii ingekuwa kazi yao kabisa.
Sawa a.k.a komora096
Hivi ni nini kimewatokea hawa jamaa? Chanzo cha hizi fujo ni nini?
Labda tumuulize Coco reborn π€£π€£...Chanzo cha hizi fujo ni nini?
Kweli uko kishabiki humu. Kwahiyo mtu yeyote akikoment chochote atakuwa sahihi kwakua tu ni Mtanzania na anamiliki simu janja?Hadi Watanzania wenzako wameona list Ni bogus na upon unashangilia. Yani ujinga ingine ni ya kuona tu na macho.
Kenya ina majobless wengi na vijana wengi wenye challenge kubwa ya chakula na makazi, hivyo shughuli za mikusanyiko na maandamano ni nafasi pekee sana kwao kufanya uhalifu kupata chakula na moja ya sababu vurugu zinashabikiwa sana Kenya na South Africa.Hawa wanafanya mzaha ,ona Hawa