Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

pale viongozi wanapojisahau sheria hizi zitawahusu pia Watalii! Aisee busara ni zero! Nashangaa Rais Mwinyi kapitishaje hili?
Zanzibar wakiendelea na hizi mambo zao watapoteza wataliii wanajisahau kuwa kuna Oman, kuna Sychelles na kuna Mombasa!!
 
Hio sheria ni kwa wazawa tu[emoji116][emoji116][emoji116]
Basi kama ni hivyo ni upuuzi na kutofikiria, mwanzoni nikaona sawa wana msimamo mana taratibu, mila na desturi za sehemu husika lazima zifuatwe, ila walipobadilisha imeonekana wazi walikurupuka.

Utamjuaje mtu kama ni mzawa? Kwamba wakiona mtu kasuka wanaanza kumuuliza utaifa wake sio? Upuuzi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…