Mwache tu ila mm nachotaka nikufkisha ujumbe aelewe maovu ya hao anaowashangilia na kuwatetea π π π hii dunia hakuna kitu utaficha kikawa siri ya mileleKaka hoja unazo, achana na mambo ya uarabu wake. Mambo ya rangi wala kabila achana nayo
kenyatta famy walitoka kitambo buda..kenya sio kama CCMYani manabadilisha chama lakini mnatawaliwa na Koo zilezile za Kenyatta family
kama darKijiji cha wavuvi
Kenyatta family walitoka kitambo lini?kenyatta famy walitoka kitambo buda..kenya sio kama CCM
sa hii ni hustler rais and so forth
last year dummy... ama bado hujui kenya kuna rais wa chama cha UDA ambacho kiliundwa 2021 na kikashinda urais?Kenyatta family walitoka kitambo lini?
Na Koo Moja imetawala Kenya kwa miaka mingapi? Huku wakibadilisha majina ya vyama?last year dummy... ama bado hujui kenya kuna rais wa chama cha UDA ambacho kiliundwa 2021 na kikashinda urais?
hapa Kenya sio kulamba CCM matako
Moi, Kibaki, Kenyatta na Ruto wote ni koo tofauti, kwani CCM wanafunza nini huko chuo za kidanganyika?Na Koo Moja imetawala Kenya kwa miaka mingapi? Huku wakibadilisha majina ya vyama?
Koo tofauti ni huyo ruto pekeakeMoi, Kibaki, Kenyatta na Ruto wote ni koo tofauti, kwani CCM wanafunza nini huko chuo za kidanganyika?
Mbona Watanzania lazy hivi!? Kama unabisha, kafanye utafiti mwenyewe.ukiwa hujatoka nje ya Kunyaland unafikiri dunia inazunguka hapo Ukunyani! sasa unataka kusema hii area inapita some areas in SA? Unajua Gauteng rural area inakaaje? Western Cape Province?
Na wala sio Estates. Nyumba tu za kawaida kwa village.Wakenya bhana yani arable land yenu mnaweka estates na kulima maua
Kenyatta kikuyuMoi, Kibaki, Kenyatta na Ruto wote ni koo tofauti, kwani CCM wanafunza nini huko chuo za kidanganyika?
Ni wale wale kalenjin na kikuyu ni wale wale tu wanaukaribu mkubwa sana π π πKoo tofauti ni huyo ruto pekeake
Business DailyNa wala sio Estates. Nyumba tu za kawaida kwa village.