Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kauliza swali la kiwaki sana,au jamaa bado anapika na kuni?

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Wakenya wakiona mtanzania amefungua biashara Kenya wanapata mchecheto kwa kudhani watapitwa yani mawazo yao yapo kwenye GDP tu na sio maisha, taifa gas imeenda kuwakomboa lkn kwa sababu ni kampuni ya Tz wanataka kuona ikifa, yani wapo radhi wafe njaa lkn kampuni ya kitanzania isiwepo kwao.
 
Kuna ukwel hapo?
 

Attachments

  • Screenshot_2023-06-28-14-56-13-96_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
    103.3 KB · Views: 22
So you googled an old photo but ignored the construction ones… typical Bongolala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…