Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

10km marathon huwa zinaachiwa amateur runners ili wajipime, cha ajabu unaona sifa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
10km marathon huwa zinaachiwa amateur runners ili wajipime, cha ajabu unaona sifa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hao watu wenu walioshiriki sio Wakunya? Leo mnawakataa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Iyo ppp inasaidia nini wananchi wa chini?
Huoni aibu nchi Iko na 360m people inaconsume more fuel than nchi ya watu 1.4b
Poverty iyo.
Ni kama kucompare Nigeria na Sweden despite having almost same gdp.
Umeshauriwa ujifunze kwanza kuhusu PPP kabla ya kuzungumza, usiendelee kujiaibisha, PPP ndiyo kipimo Cha ubora wa maisha ya wananchi wa kawaida, ndio sababu hivi Sasa biashara nyingi zinaelekea China.

Tatizo lenu wakenya elimu yenu ni ndogo Sana, hivi kwanini mnatumia matumizi Kama kipimo Cha mafanikio badala ya kutumia uzalishaji?.

America consumes more fuel but China produces more goods using less fuel consumption, which country has got upper hand among the two?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Eti namba 39 duniani kwa kiwanja kimoja, MLS ya USA imewekwa namba 29๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.
 
Neither Eastleigh nor pipeline will shift their status from slum to decent place no matter how much money your government will pump in, the only solution is to demolish the whole mess and start afresh which is an unattainable pipedream.

Don't worry, we are demolishing dozens of old buildings every year in Eastleigh.

Ona hii video, and if you have time count the number of green nets; buildings under construction.

Then report back here whether there is any similar concentration of green nets in Tanzania, or frankly anywhere in Sub-Saharan Africa.

 
Why don't you bomb the whole area and start afresh rather than spending money to demolish building by building?
 
Iyo ppp inasaidia nini wananchi wa chini?
Huoni aibu nchi Iko na 360m people inaconsume more fuel than nchi ya watu 1.4b
Poverty iyo.
Ni kama kucompare Nigeria na Sweden despite having almost same gdp.
Ubongo wako ume stuck bro.. ๐Ÿ˜… china is not playing the catch up with old technologies .. irudi nyuma unataka.? ๐Ÿคฃ Pitia hii ๐Ÿ‘‡china ni habari ingine mjomba ๐Ÿ‘‡...
 
Why don't you bomb the whole area and start afresh rather than spending money to demolish building by building?
Since you seem to know a lotโ€ฆ I wish they can make you the minister of Uswaziland bombingโ€ฆ that place needs more bombardment and a fresh startโ€ฆ.. fix your house before talking of your neighborโ€ฆ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Why don't you bomb the whole area and start afresh rather than spending money to demolish building by building?

Meza wembe hapo nje. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sehemu gani Tanzania mijengo inaendelea hivi? Name Just one estate imefika ata nusu ya Eastleigh.

Give it 10 years huko kutakaa Istanbul. Right now its a construction zone. Wacha Wasomali wamalize kuharibu barabara with the big trucks. Serikali itaingia baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ