Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili jambo linasikitisha Sana kwakweli, hivi inawezekanaje watu wenye silaha wanavuka mpaka kirahisi na kuchinja watu zaidi ya miaka 10 Sasa na serikali ipo?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
BRT si kama kula githeri Shakaholas!Msije kulialia baadae maana mlishaanza,sisi tunasonga pata joto tu la phase ya kwanza na ya pili tu bado phase nyingine U/C







Kuna kitu kinaitwa Transit Oriented Development (TOD) uendelezwaji wa corridor zote za BRT, project ya kwanza hii hapa soon kuanza,Gerezani Kariakoo

Kwa info zaidi tazama video hii. kutoka DART
Tanzania hatuna masihara kbs! Battle mtaikimbia hii kama wengine waliokwisha kimbia πŸ˜ƒ.
 
Nimeona wanaugusia gusia sema hawajauwekea Budget ya maana , wameongela kwenye Budget ya Wizara ya Mambo ya Nje , pia wanataka ku expand JNICC kwa kujenga Auditorium Mpya
Hivi kwa nini hawafikirii exhibition center!? Conferencing inaenda sambamba na exhibition! Na Tanzania kuna potential kubwa sana kwenye hii sekta! Na uhaba wa facilities ni wazi kabisa!

Kwa nini huku hawajafikiria??
 
Real estate kenya ni big business. Hata sasa hivi wakati economy haiperfom poa hivo, unapata ndo kuna construction boom everywhere
Thats gambling my friend no new money kwenye productive sectors za uchuni maana hali ya uchumi haieleweki people are sacred to invest kwenye production the only safe place to safeguard your money is in real estate thats what is happening in Kenya right now but the effect is going to be catastrophic boom and bust economic cycle kwenye real estate ndio mnatengeneza rightnow kilio kitakuja kuwa kikubwa huko mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…