The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Dodoma iko well organized kuliko Dar na Nairobi, but Dar ni World class city kuliko miji yote kenya, Dar ina BRT, electrified SGR, cable stayed bridges, modern airport, modern football stadium, modern markets, and modern bus terminals, Nairobi haina vitu hivyo. So jamaa yuko sawa kuweka Dar mbele ya Nairobi ila kakosea kuiweka Dodoma nyuma ya Dar na Nairobi.Kama ungetoa patriotism na uwe neutral list ingekaa hivi
1. Nairobi
2. Dar
3. Mombasa
4. Kisumu
5. Nakuru
6. Arusha
7. Eldoret
8. Mwanza
Ni upuzi kuweka Zanzibar na dodoma kwenye hii list
Before going too farToa Mwanza na Kisumu kwenye list
Achana naye mwehu huyo.Before going too far
Kwa nini niondoe hiyo miji kwenye list
Hahaha, kweli Kenya mumeishiwa na mambo, hapa Tanzania sisi Huwa tunatazama local football, music, boxing and films kuliko za nje, that's why Mondonga, Diamond, Harmonize and Ali Kiba are most celebrated in Kenya than Kenyans artists because of the support we give them back home. You need to take a leaf from Tanzania, other wise you will remain behind for rever.Kol kupoteza DSTV deal ndio ilikuwa mwanzo wa kifo Chao.
Kenyans hate local football but through dstv juu ya EPL most atleast walikuwa wanawatch.
Hakuna ball boring kama hizi za Afrika.
Tatizo lako wewe una hasira sana na hujawahi kuutibu huo ugonjwa mbuguma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna lami hapa.
Main roads but with no feeder roads!!!
Watu huko ndani ndani wanafika aje !!!
Tuonyeshe lami After every 2 houses!!!
Oooh nlisahau planning ni zero huko
Yuko huko anaokota pesa tu 😅😅Hahaha, kweli Kenya mumeishiwa na mambo, hapa Tanzania sisi Huwa tunatazama local football, music, boxing and films kuliko za nje, that's why Mondonga, Diamond, Harmonize and Ali Kiba are most celebrated in Kenya than Kenyans artists because of the support we give them back home. You need to take a leaf from Tanzania, other wise you will remain behind for rever.
Sio za Africa sema za Kenya ndo zinaboa kwakuwa hamna miundombinu na fedhaKol kupoteza DSTV deal ndio ilikuwa mwanzo wa kifo Chao.
Kenyans hate local football but through dstv juu ya EPL most atleast walikuwa wanawatch.
Hakuna ball boring kama hizi za Afrika.
Kol kupoteza DSTV deal ndio ilikuwa mwanzo wa kifo Chao.
Kenyans hate local football but through dstv juu ya EPL most atleast walikuwa wanawatch.
Hakuna ball boring kama hizi za Afrika.
Haya jifurahisheDodoma iko well organized kuliko Dar na Nairobi, but Dar ni World class city kuliko miji yote kenya, Dar ina BRT, electrified SGR, cable stayed bridges, modern airport, modern football stadium, modern markets, and modern bus terminals, Nairobi haina vitu hivyo. So jamaa yuko sawa kuweka Dar mbele ya Nairobi ila kakosea kuiweka Dodoma nyuma ya Dar na Nairobi.
No Kenyan would like to play football in Kenya, every Kenyan player dreams to play in Tanzania.There's a stadium under construction in like every county.
This is homa bay View attachment 2664274View attachment 2664275View attachment 2664276View attachment 2664277
Not big in Tanzania but in east and central Africa.
Kama nmeongopa lete facts to dispute mine.Haya jifurahishe
Kazi ya serikali ni kuwasaidia academically sisi wengine huku tutajitoa kwenye stipend [emoji16]Muhimbili, the biggest and most morden Hospital in East, Southern and Central Africa, out of South Africa.
Hizi ni takataka, haziwezi ku host AFCON takataka hizi, tushatoka huko.There's a stadium under construction in like every county.
This is homa bay View attachment 2664274View attachment 2664275View attachment 2664276View attachment 2664277
Haina mvuto nina wasiwasi mtatumis 🤣Mimi nimefurahi manake watanzania wataweza kutazama KPL.