joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hahaha, ngoja nikufunze uchumi. Taxes hukusanywa kutoka sehemu ya GDP ya nchi husika. 24% ya GDP ndicho kiwango kizuri kwa nchi yenye mfumo mzuri wa ukusanyaji Kodi, nchi nyingi za Africa bado hazijafikia hicho kiwango Cha ukusanyaji.Wewe ni ngombe Sana, nani ametaja remittance ama ndo njia yako ya kutorokea. GDP estimates ni pesa intangible ambazo huwezi kuzitumia kulipia Deni.
Sasa wee jinga ukisema eti "ukiondoa madeni kwa GDP ya Kenya unabaki na 30bn$". Recession ndo inaweza punguza GDP ya nchi sio kulipa Deni.
Madeni yanalipwa na kodi, kodi haina uhusiano na GDP, zipo nchi nyingi zenye GDP kubwa lakini ukiangalia ushuru wanaokusanya na bajeti zao haziendani mfano Nigeria.
Unajiabisha ficha ujinga
Na nyie mlivyojazana huku tz kufundisha pre-primary (kindergarten) schools na kuhemea chakula tusema Tz ndio dunia yenu? We punda endelea kukaa kibera hapo wenzako wamejazana huku Bongo na wana-enjoy maisha ya huku hawataki kurudi huko jehanamu yenu ya Kibera and the likes.Dunia yenu ni Kenya, huko majuu hamuko kabisa🤣🤣🤣 kuna mmoja anaitwa ichoboy01, alisema Mahali hajafika Kenya ni lamu na turkana.
Hahaha, ngoja nikufunze uchumi. Taxes hukusanywa kutoka sehemu ya GDP ya nchi husika. 24% ya GDP ndicho kiwango kizuri kwa nchi yenye mfumo mzuri wa ukusanyaji Kodi, nchi nyingi za Africa bado hazijafikia hicho kiwango Cha ukusanyaji.
Kenya kwa mfano, hukusanya kati ya 16 -18% ya GDP Kama Kodi. Nchi yenye GDP kubwa hukusanya pesa nyingi kwasababu pesa inayopatikana kutokana na kodi pia Huwa kubwa.
Sasa wewe sema, taxi inayotozwa na KRA hutoka wapi Kama sio kwenye uzalishaji wa bidhaa na huduma ndani ya Kenya?. Unadhani Kodi hutoka mbinguni?.
Utajidhalilisha, hujui kitu.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kama utajiri wako $1B, na Bank unadaiwa $1B, japo unalipa kidogokidogo, vitabu vyako vya hesabu vitaonyesha $0.Naona unaniuliza swali la kijinga alafu unajijibu mwenyewe. Turudi kwa hii kauli yako "ukitoa madeni uchumi wa Kenya unabaki $30bn"
Arm chair expert wa uchumi kutoka tandale, kivipi unaweza kupunguza GDP ya kenya ukitumia madeni. Wakati zipo nchi nyingi ambazo zime- default madeni yake na GDP yao iko pale pale mfano Ghana!?
GDP sio net worth ambayo lazima uondoe liabilities Kama madeni
Ficha ujinga
huyu demu mbona anamuangalia Wanjigi aking'ata lips?Kama utajiri wako $1B, na Bank unadaiwa $1B, japo unalipa kidogokidogo, vitabu vyako vya hesabu vitaonyesha $0.
Kukataa kulipa deni Kama zilivyofanya nchi zingine, sio sehemu ya kulipa deni au kuongeza utajiri wa nchi, ni sawa na kukimbia na deni la mtu.
Sikiliza kwa makini upate SoMo
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Anamtamani?,,[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyu demu mbona anamuangalia Wanjigi aking'ata lips?
Kama utajiri wako $1B, na Bank unadaiwa $1B, japo unalipa kidogokidogo, vitabu vyako vya hesabu vitaonyesha $0.
Kukataa kulipa deni Kama zilivyofanya nchi zingine, sio sehemu ya kulipa deni au kuongeza utajiri wa nchi, ni sawa na kukimbia na deni la mtu.
Sikiliza kwa makini upate SoMo
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Madeni hulipwa kutoka kwa GDP ya nchi, Kama nchi Iko na GDP ndogo, uwezo wake wa kupata pesa nyingi kutokana na Kodi pia ni mdogo kwa sababu Kodi ya Kenya ni 16% ya GDP yake ya mwaka husika.Joto la jiwe, GDP sio networth.
Elimika usiwe mjinga.
Hii Tokyo bwana[emoji23]Nairobi with Kilimanjaro on the background.
[emoji23][emoji23][emoji23] Tokya na mlima fiji ndo imekuwa nairobiView attachment 2660399KUMBE KILIMANJARO SIO MBALI FROM NAI
Km 2035Over 1100 km new highways projects signed!
Na umeme wao mwingi wanatumia fossil energy kuuzalisha hamna nafuu yoyote hapo.Wakenya msikubali huu ushauri wa World Bank, hiyo mitungi haina uwezo kuhimili umeme, italipuka yote hiyo.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Watatupiga pini kwenye kodi tu Acha wajenge izo barabara..miaka minne since watakaopanza utekelezaji...so let's hope hadi 2027 zitakua tayari..View attachment 2660463
Hongera Mama Samia kilometa 2035 za lami zinaenda kujengwa kwa mpigo.
Unafikiri Singapore walianza na msitu wa Shakahola?🤣🤣We move
it's your farmers who are desperate for our money .......its not like you are donating or something...its businessMama Samia, wahurumie kidogo hawa Shakahola watakwisha kwa njaa.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app