Btw… my daughter playing around with Daddy’s money…🤣🤣🤣…. Wacha wivu iendelee…🤣🤣View attachment 2658684
Isn’t it weird that if this was a Kenyan posting ya’ll would be screaming… thanks for the render…. Lakini in your case this totally ok… no wonder nobody takes you seriously…
This a battle and you know you have lost when you complain about the optics….You can’t call us poor and when we hit back you cry we are doing too much.. if you can’t take the heat, get off the kitchen!…🤣🤣🤣This really quite pathetic and sad. You really feel the need show strangers on the internet how much cash you have?
and then on top of that bringing your kids into this. Wow!
How insecure are you?
Hata mimi nataka kuona video hata moja ya foreigner anayechagua Tanzania over Kenya. Watanzania huku jf ni kujidanganya na kujiliwazaWatutafutie ile inasema tz is more developed than kenya....haha
Watanzania wengine huku jf ni wajinga kupindukiaKwa hivyo huku bongo mlifundishwa madeni yanalipwa na GDP[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah! Kwasababu hii mtu unabaki kujiuliza waje au wasije dpWHapo unauliza swali au unauliza jibu? Mali ya Umma ni shamba la bibi ukijifanya unakaza unaondoka wewe ndio maana best practice ni kuwapa private sector Huwa hawatazami sura Wala jina la mtoto wa kigogo..
Mwisho miaka 60 ya Uhuru hakuna Cha maana kimefangika hapo Bandarini.
Kwanza Bandari imekuwa inatumika kama Chimbo la watu kuvunia ndio maana licha ya kujaza Tiss sijui wanajeshi wote njaa tuu .
Humu napaheshimu sana Kaka..Huwa mnawajuaje, mbona wao hawajawahi kuonyesha hata picha moja ya Mtanzania?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
this was the best answer your pea sized brain could give you....warped reasoning at best...typical tanganyikans...you are beyond helpUSA hawaongelei unga na huwapati street wakiandamana bei ya chakula wakiwa na masufuria kichwani, again, USA is the developed country, Kenya is a failed shit hole [emoji2734] country, that's a difference.
[emoji23] huwa mnaumwa sana tukinunua mahindi MexicoRaisi amezuia chakula kuuzwa nje, haya sasa wakazi wa jangwani mjiandae kununua mahindi Mexico
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Alafu huyu msenge nishamjua, huu muandiko wa NairobiWalkerAint my fault you don’t understand basic English… go back to Secondary school umalize kwanza…[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Your statement is baseless since you don’t recognize me, or my daughter…. If I posted my face then you can call it flashing….. so now it’s a little bag of cash?.. so why so bitter … it should not bother you then… you should not even comment on it… unless it’s eating you from the inside and it shows….. endelea kuumia…. I just grabbed a bag of popcorn 🍿 🤣🤣🤣
Maamuz ya Ajabu sana.Raisi amezuia chakula kuuzwa nje, haya sasa wakazi wa jangwani mjiandae kununua mahindi Mexico
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
you think you are doing us a favour by selling us your produce... Shida Ruto si wa kubembelezana kama uhuru....mtashangaa. Though I don't like RutoMaamuz ya Ajabu sana.
Kuna wakulima wamekopa pesa benki kulimia Mazao alafu bei itakuwa chini kwa ķukosa soko. sijui watalipaje mikopo.
Wakulima wakiona kilimo hakilipi, watapunguza uzalishaji. Wenye malori watakosa mizigo, mabenki yatapungukiwa wateja wa kukopa,makampuni ya mbegu na madawa ya kilimo yatapunguza uzalishaji,mbolea zitakosa soko lililoķua linakua,
Umaskini utaongezeka hasa vijijini,vijana watazidi kuja mijini kuwa wamachinga kwani hawataona tija kwenye kilimo,na wakija mijini ambako hamna kazi wataishia kwenye umachinga na kujenga makazi holela mabondeni.
Kwavile mauzo ya Mazao nje yatapungua,tegemea shilingi kuzidi kushuka thamani.Tegemea pia wenye maduka ya bifhaa nyingine kupungukiwa na wateja kwani wakulima wengi watapungukiwa pesa. Biashara zitazidi kudorora. Umaskini utaongezeka Bali wachache kama wahindi wenye viwanda watanufaika kwakua watanunua Mazao bei ya kutupa, watasindika na kuuza nje bei ya juu. Si unajua wenye viwanda hawabanwi sana.
Yani siasa za bongo ni shida.
Yaani we acha tu hadi mahali wanapofanyia kazi panajulikana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Humu napaheshimu sana Kaka..
Kuna WATU humu haswaa..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]