Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi vs Dar es Salaam

Hii ni miji miwili mikubwa sana Agrica mashariki na Central Africa

Nairobi upo katikati ya nchi wakati Dar es Salaam ipo ufukweni wa bahari
Miji hii kwa pamoja ni mizuri sana kwa kuitazama kuliko miji mingine yote kiukanda huu

DAR ES SALAAM
ni mji wenye majengo marefu yalio mengi kuliko mji wowote ule katika ukanda huu. Huu mji unaweza kuwa na idadi ya majengo yaliozidi ghorofa 9 mara mbili ya yale yalioko NAIROBI.
Majengo ya mji huu yako karibukaribu kiasi kwamba yanafanya mji uonekane ni majengo tu. Barabara katika mji huu sio pana saana kulinganisha na nairobi. Lkn mji huu unavutia sana kwa kuwa na warembo na watu wengi sana.
Kwa muonekano ni kubwa na inajengwa kila mahara

DSM pictures

Kutokana na ukubwa wa majengo
Kkoo ndo kunamajengo mengi zaid then posta

POSTA







KARIAKOO
hii sehem ni ya biashara
Kila mda kunafoleni ya watu
Ndo sehem yrnye majengo mengi kuliko yote DSM

UPANGA
 
MOROCCO



MAKUMBUSHO

http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/893d

MLIMANI[IMG]http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/8e3bfac09161af99b2feaa8f8d092524.jpg

Hapo bado kuna visehem vingi vinavyojengwa
Kama magomen.
Manzese,
kawe,
Masaki etc
 
lol...we know this desperate tactics of taking a photo of any useless thing. Diamond alipata watu watano na cameraman ndio apige rented people kama wameshika njugu yake.....pwahahaha. Mimi sijawahi ziona in any Kenyan shop honestly
asante kwa povu msee....ila punguza hasira...wahenga hunena "hasira hasara.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
NAIROBI
Huu mji ni mzr na Majengo yake yapo mbalimbali
Hii uufanya uwe na eneo kubwa la kuweka msitu na barabara kubwa
Na kumbuka Half of Nairobi ni mbuga ya Wanyama
Ni mzr japo ni mdogo kwa Dar es Salaam interms of buildings
Its possible picha moja ya Nairobi ukaona majengo yote ya mji huo
Also climate ya Nairobi ni nzri sana



 
meanwhile...[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]
now trending: the view of nairobi CBD with mike sonko as a governor.
 
meanwhile...[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]
now trending: the view of nairobi CBD with mike sonko as a governor.
Noway inabidi watengewe mahali za biashara CBD namna iyo hapana
 
Noway inabidi watengewe mahali za biashara CBD namna iyo hapana
siasa za jubilee zinaenda kuharibu muenekano wa jiji la nairobi....ukute wakati wa kampeni za kutafuta ugavana,mike sonko aliwahadi hawkers (wamachinga) kuwa akishinda tu nafasi hiyo ataruhusu wafanye uchuuzi mitaa ya CBD.[emoji23]
 
siasa za jubilee zinaenda kuharibu muenekano wa jiji la nairobi....ukute wakati wa kampeni za kutafuta ugavana,mike sonko aliwahadi hawkers (wamachinga) kuwa akishinda tu nafasi hiyo ataruhusu wafanye uchuuzi mitaa ya CBD.[emoji23]
Daah [emoji23][emoji23]siasa nazichukia basi tu
 
Kenya has been ranked third in Sub-Saharan Africa in the 2017 World Bank Ease of Business Index, moving 12 places to a global ranking of 80 out of 190 countries.

The World Bank Report, which assesses among other factors the processes required to start a business, placed Kenya third in Sub-Saharan Africa behind Mauritius and Rwanda.

Industrialization Cabinet Secretary Adan Mohammed attributed the improvement to reforms in starting a business, dealing with construction permits, getting electricity, access to credit, paying taxes, and trading across borders.

“The Improvements are driven by efforts by the government and the private sector in improving the business climate. Kenya has delivered the highest number of business-related reforms on the African continent for the second year running,” he said.

The country has moved 53 positions over the last three years and the new position is Kenya’s best performance in the last 15 years.

Last year, Kenya moved 21 places to position 92 globally making it the third most improved economy for two years in a row.

In the 2016 report, Kenya was ranked 113 having moved 28 positions from the previous year.

The target for Kenya now is to attain position 50 by 2022.

“Our improvement starts today for next year. Our target is to be in the top 50 countries in the world in the next couple of years, and we put that target three years ago,” CS Mohammed said in a press address at the National Social Security Fund (NSSF) building.

The report has of course caught the eye of President Uhuru Kenyatta who has expressed pride over the improved performance.

“Proud that Kenya has moved up 12 spots to 80 in the 2018 World Bank global Doing Business rankings. We were ranked 92 last year and 136 in 2013.

“This is our country’s best performance in 15 years. Cumulatively, Kenya has moved up 56 spots over the past 3 years,” said Uhuru.

He added: “Being ranked as 3rd most reformed country in Sub-Saharan Africa shows that Government efforts to enhance the business environment are bearing significant fruit.”
 
That karanga won't be successful in kenha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…