Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,162
- 107,732
waja ubishi wa kifalamanga mshikaji unapoibiwa kuwa tayari kung'amua! Najua hii maneno ndo maana nakuambia hamna refurbishment iliyofanyika kama wanavyodai! Walipiga rangi tu wakaleta! Kuweka charging points na screens za kuonyesha safari na vituo vinavyofuata na pia ku-offer TRC promotions spots ni vitu havikupaswa kuachwa! Na tusisahau WIFI pia!Kwenye biashara Kuna kitu kinaitwa "Varieties", wale wenye kupenda amenities watapanda ya Korea, wenye kupenda ya ghorofa watapanda haya ya Ujerumani.
Tungekuwa ni nchi tajiri tungeagiza Yale mapya kutoka Korea yawe ya ghorofa na waweke amenities zote, lakini ni ghali mno, Bora tufanye hii "mixer" ya kienyeji.
Hizo za Korea ni brand new made to specifications ila za ghorofa ni used made to previous owner specs so kukosekana kwa charging system naona sio issue huko kwao na may be hapa maana journey time ni ndogo at most 1.5 hours from point to point. Remember treni za ghorofa na zile za nyoka ni za short distance kama Dar -Moro au Dar -Dom ila zile from Korea zile ni za long distance Dar -Mwanza na Dar - Kigoma.Sasa unaletaje ya Korea yenye amenities zote halafu yanayofuata hayana? Where is the standard?
As long as refurbishment imefanywa kama Kadogosa anavyodai, sioni sababu kwann wagons za 21st Century zisiwe na charging points! Mimi si mjinga naweza nika-break down the cost uone ulipopigwa! Endelea kubisha! masanja na group lake wanajua wanavyofanya! As long wamechukua mabehewa right off wakafanya refurbishment charging points na screens hazipaswi kukosa! End of story!Hizo za Korea ni brand new made to specifications ila za ghorofa ni used made to previous owner specs so kukosekana kwa charging system naona sio issue huko kwao na may be hapa maana journey time ni ndogo at most 1.5 hours from point to point. Remember treni za ghorofa na zile za nyoka ni za short distance kama Dar -Moro au Dar -Dom ila zile from Korea zile ni za long distance Dar -Mwanza na Dar - Kigoma.
Geza wewe Huwa upo na shida Sana, Sasa wewe na huyo naibu mkurugenzi nani tumsikilize?, Yeye amesema hizo TV zitakuwepo, wewe unasema hakuna kwa kutazama kwenye picha na hata kabla hazijaanza kazi na hujazipanda, Je zikianza kazi mwezi ujao na hizo TV za kuonyesha vituo zikiwepo utasemaje?, Punguza ujuaji usio kuwa na maana.waja ubishi wa kifalamanga mshikaji unapoibiwa kuwa tayari kung'amua! najua hii maneno ndo maana nakuambia hamna refurbishment iliyofanyika kama wanavyodai! Walipiga rangi tu wakaleta! Kuweka charging points na screens za kuonyesha safari na vituo vinavyofuatwa na TRC promotions ni vitu havikupaswa kuachwa!
Zinaitwa Dosto Wagons! Na kama walizikarabati kweli yaani zilifanyiwa refurbishment, basi zinapaswa kukaa hivi!
Kichwa chake kinapaswa kuwa hivi!
sitashangaa tukipokea cha namna hii
Sasa wewe endelea kupisha kiupuuzi!
kama zitawekwa sina shida ila maneno yako ya varieties sikubaliani nayo najua thamani ya fedha mzee! Na charging points waweke ni suala la umeme tu halishindikani! Si upuuzi ati wa kupanda za mkorea kama mtu anataka charging points! That's so low of u mzee! charging points, announcements screens n WIFI r the must in SGR locomitives! No negotiation on that!Geza wewe Huwa upo na shida Sana, Sasa wewe na huyo naibu mkurugenzi nani tumsikilize?, Yeye amesema hizo TV zitakuwepo, wewe unasema hakuna kwa kutazama kwenye picha na hata kabla hazijaanza kazi na hujazipanda, Je zikianza kazi mwezi ujao na hizo TV za kuonyesha vituo zikiwepo utasemaje?, Punguza ujuaji usio kuwa na maana.
Comments za wakenya zinakupa orgasm Kali Sana,
Kwahiyo hizo behewa hapo zilipo hazina thamani yoyote kwako endapo hazitokua na sehemu za kuchajia?. Kwamba pamoja hivyo zilivyo zinavyoonekana, zikikosa TV na sehemu za kuchajia kwako wewe hazina faida yoyote?.kama zitawekwa sina shida ila maneno yako ya varieties sikubaliani nayo najua thamani ya fedha mzee! Na charging points waweke ni suala la umeme tu halishindikani! Si upuuzi ati wa kupanda za mkorea kama mtu anataka charging points! That's so low of u mzee! charging points, announcements screens n WIFI r the must in SGR locomitives! No negotiation on that!
Hivi zile barabara za formula one ambazo Alfred Mutua aliahidi kujenga Kule Machakosi zilikamilika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zituko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unasimama upande upi👇🏾👇🏾Hivi zile barabara za formula one ambazo Alfred Mutua aliahidi kujenga Kule Machakosi zilikamilika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Muhimu kwangu ni jinsi mjadala ulivyofanyika, kwa utulivu na Kila mtanzania alichangia bila fujo Wala maandamano.Unasimama upande upi[emoji1484][emoji1484]
yes havina thamani huwezi kuingia train station ina WIFI na amenities zote halafu unaingia kwenye nginjanginja! Ni upumbavu na ubabaishaji! Lazma kuwe na mnyororo wa amenities basics kwa kila behewa! Esp. kwa gharama walizo-procure those used wagons na kuahidi refurbishment! Hii maneno siyo uelewa wako!Kwahiyo hizo behewa hapo zilipo hazina thamani yoyote kwako endapo hazitokua na sehemu za kuchajia?. Kwamba pamoja hivyo zilivyo zinavyoonekana, zikikosa TV na sehemu za kuchajia kwako wewe hazina faida yoyote?.
Kwanini usilalamike zile za mkorea kutokua za ghorofa?, Kwasababu wapo watu ambao TV na charging port kwao sio muhimu Sana, kwao wanathamini ghorofa zaidi kuliko hizo TV na charging ports, vipi unataka kulazima kile unachokiona kwako ni muhimu basi nchi nzima tuone hivyo unavyotaka wewe?.
Kundustan ni jina linabaki kwenu hata jina la nchi ni Kunyaland!Wameshindwa kushindana na Mombasa port wakaona wamuuzie DP, kitawaramba watanzakundu🤡
Tatizo lenu ni kwamba mko docile. Mnapelekwa Kama kondoo, badala kufanya activism kazi yenu ni kushindana Kati ya diamond na Ali kiba nani mkali🚮🚮 IMuhimu kwangu ni jinsi mjadala ulivyofanyika, kwa utulivu na Kila mtanzania alichangia bila fujo Wala maandamano.
Wewe unajua thamani ya hizi behewa zikiwa mpya?, Umelinganisha na gharama za kuzifanyia "refurbishment" vs kuzinunua zikiwa mpya?. Hivi unajua tofauti kati ya "refurbishment na upgrading".yes havina thamani huwezi kuingia train station ina WIFI na amenities zote halafu unaingia kwenye nginjanginja! Ni upumbavu na ubabaishaji! Lazma kuwe na mnyororo wa amenities basics kwa kila behewa! Esp. kwa gharama walizo-procure those used wagons na kuahidi refurbishment! Hii maneno siyo uelewa wako!