Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya wewe na Ukapuku wako endelea hivyo hivyo
Wenye Akili zao wamesha anza kutumia

Hapa ni Jahari supermarket Nairobi

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Naliamsha dude. Moi Avenue Nairobi CBD. Nishidaaa. Lol jiji limegeuzwa Kibera lote. Sonko fala sana....View attachment 623174
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
meanwhile....
this is how diamond karanga is trending in kenya.

hawa ndio wale business minded kenyans,hawaangalii product imetoka nchi gani...maadam ina ubora na demand yake ni kubwa nchini kwao basi kazi huwa ni moja tu,kuchapa kazi ya kui-promote na kuhakikisha product hiyo inapata wateja wengi nchini kenya.

ooh my my i love these kenyans....hapa kazi tu...wale wakenya wenye wivu na chuki dhidi ya mafanikio ya diamond platnumz nendeni mkajirushe KICC.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]


machokaraa na majobless wa kikenya waliopo hapa jf wakiona hii watazidi kupatwa na hasira na kuendelea kutoa povu...wivu ni kitu kibaya sana.[emoji23] [emoji23]
 
Baada ya kuona kwenye utalii wamechapwa fimbo nyingi sana sasa wameamua kuharibu

 
Hahaha Sasa anakuja Kichaa mmoja Jf
na Upuuzi wake !
Bila kujiuliza ni kwa box ngapi zinatumika kwa siku moja
Yeye kawekeza lipi la maana !!
 
Hahaha Sasa anakuja Kichaa mmoja Jf
na Upuuzi wake !
Bila kujiuliza ni kwa box ngapi zinatumika kwa siku moja
Yeye kawekeza lipi la maana !!
Hii ni ishara kwamba mambo mengi wanayoandika humu,hawayajui kwa uhakika.au wanadanganya makusudi hawa wakenya wa jf.
 
Hahaha Sasa anakuja Kichaa mmoja Jf
na Upuuzi wake !
Bila kujiuliza ni kwa box ngapi zinatumika kwa siku moja
Yeye kawekeza lipi la maana !!
kwa sasa wanachungulia tu kimya kimya kwa aibu na hasira wakikusanya povu la kutosha kuhusu diamond karanga.[emoji23] [emoji23]
 
Hii ni ishara kwamba mambo mengi wanayoandika humu,hawayajui kwa uhakika.au wanadanganya makusudi hawa wakenya wa jf.
mkenya wa jf akiandika jambo lolote la kuisifia kenya dhidi ya tanzania,usiliamini.

jiongeze kwanza kwa kwenda kufanya uchunguzi kwenye vyanzo vingine hasa hasa twitter.kule wamejazana wengi sana na wana-share matatizo yao mengi ya kijamii yanayowasibu nchi kwao.[emoji23]
 


lol...we know this desperate tactics of taking a photo of any useless thing. Diamond alipata watu watano na cameraman ndio apige rented people kama wameshika njugu yake.....pwahahaha. Mimi sijawahi ziona in any Kenyan shop honestly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…